K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Apr 19, 2026 #141 Steven Joel Ntamusano said: SSH yupo mpaka 2030 Mungu akipenda. Click to expand... Kwani nguruwe anayemtegemea atakuwa na akili za kutambua lingine mbali ya hilo? Mungu hana mpango wowote na shetani Samia. Huyo "mungu" mnayemtegemea kwa kutenda maovu kwa binaadam wengine mtakuwa mmemtengeneza nyinyi wenyewe.
Steven Joel Ntamusano said: SSH yupo mpaka 2030 Mungu akipenda. Click to expand... Kwani nguruwe anayemtegemea atakuwa na akili za kutambua lingine mbali ya hilo? Mungu hana mpango wowote na shetani Samia. Huyo "mungu" mnayemtegemea kwa kutenda maovu kwa binaadam wengine mtakuwa mmemtengeneza nyinyi wenyewe.
S Steven Joel Ntamusano JF-Expert Member Joined Jun 17, 2023 Posts 9,414 Reaction score 6,029 Apr 20, 2026 #142 Kalamu said: Kwani nguruwe anayemtegemea atakuwa na akili za kutambua lingine mbali ya hilo? Mungu hana mpango wowote na shetani Samia. Huyo "mungu" mnayemtegemea kwa kutenda maovu kwa binaadam wengine mtakuwa mmemtengeneza nyinyi wenyewe. Click to expand... Endelea kuzeeka ukilia na kutukana hovyo, Samia yupo mpaka 2030 tukiwa hai.
Kalamu said: Kwani nguruwe anayemtegemea atakuwa na akili za kutambua lingine mbali ya hilo? Mungu hana mpango wowote na shetani Samia. Huyo "mungu" mnayemtegemea kwa kutenda maovu kwa binaadam wengine mtakuwa mmemtengeneza nyinyi wenyewe. Click to expand... Endelea kuzeeka ukilia na kutukana hovyo, Samia yupo mpaka 2030 tukiwa hai.
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Apr 20, 2026 #143 Steven Joel Ntamusano said: Endelea kuzeeka ukilia na kutukana hovyo, Samia yupo mpaka 2030 tukiwa hai. Click to expand... Nitaendelea sana; na ninajuwa uhai wenu madarakani upo mashakani. Ndiyo maana nitaendelea hadi mwisho wenu. Hili usiwe na mashaka nalo tena.
Steven Joel Ntamusano said: Endelea kuzeeka ukilia na kutukana hovyo, Samia yupo mpaka 2030 tukiwa hai. Click to expand... Nitaendelea sana; na ninajuwa uhai wenu madarakani upo mashakani. Ndiyo maana nitaendelea hadi mwisho wenu. Hili usiwe na mashaka nalo tena.
S Steven Joel Ntamusano JF-Expert Member Joined Jun 17, 2023 Posts 9,414 Reaction score 6,029 Apr 20, 2026 #144 Kalamu said: Nitaendelea sana; na ninajuwa uhai wenu madarakani upo mashakani. Ndiyo maana nitaendelea hadi mwisho wenu. Hili usiwe na mashaka nalo tena. Click to expand... Endelea kupiga ngumi ukuta.
Kalamu said: Nitaendelea sana; na ninajuwa uhai wenu madarakani upo mashakani. Ndiyo maana nitaendelea hadi mwisho wenu. Hili usiwe na mashaka nalo tena. Click to expand... Endelea kupiga ngumi ukuta.