Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

Ipo kwa wapenda amani, nyinyi mliokinukisha hamuwezi kuiona mmejipanga kwa ajili ya vurugu mtakutana na vurugu hizo hizo.
Samia ni mhalifu; hana tofauti yoyote na majambazi; kwa hiyo kazi waliyo nayo waTanzania ni kuwajibisha jambazi; kazi ambayo haina shaka yoyote itatekelezwa; tena kwa ufanisi mkubwa.

Hakuna jambazi yeyote aliyeishi kwa furaha wakati akifanya ujambazi wake.
 
Utaendelea kuzeeka ukifanana na fisi anayesubiri mfupa uanguke.

Mengi sana mema anayafanya siku watanzania wakiweza kuwa na shukrani watakuja kuyaona.
 
Haki inatafutwa pia ndio maana zipo mahakama kuanzia za mwanzo mpaka zile za rufaa.
Huko uarabuni hakuna mahakama?
Wewe huna jipya; unanilazimisha nirudi kwenye 'mode' ya kushughulika na mizoga na nguruwe wote wanaomfanyia kazi mhalifu Samia humu JF.
 
Utaendelea kuzeeka ukifanana na fisi anayesubiri mfupa uanguke.

Mengi sana mema anayafanya siku watanzania wakiweza kuwa na shukrani watakuja kuyaona.
Mhalifu Samia anaiangamiza nchi; wewe mzoga wake unasema analeta mema nchini?
Hata nguruwe mzima hawezi kuwa na akili za namna hii.
 
Huko uarabuni hakuna mahakama?
Wewe huna jipya; unanilazimisha nirudi kwenye 'mode' ya kushughulika na mizoga na nguruwe wote wanaomfanyia kazi mhalifu Samia humu JF.
Uarabuni panaingiaje kwenye mada za Tanzania?. Tatizo wengi wenu mnaomchukia SSH mnaendekeza ubaguzi binafsi wa anapotokea.

Upuuzi huu ulimkosesha Salim Ahmed Salim mara mbili nafasi ya kuwa rais wa JMT, mkasema mwarabu ataiuza nchi kwa jamaa zake, Mungu akaamua kumlipia Salim nafasi aliyoipoteza kwa kuhakikisha anakuwa Rais wa sita wa Tanzania ili muumie vizuri.
 
Nguruwe ni aina yako wewe ambaye umejazwa chuki kichwani mwako.
Unataka nisichukie waTanzania kuuliwa kama wanyama?

Hata nguruwe kama wewe mkiuliwa bila ya kupitia njia za kisheria nitachukia.

Wewe na baadhi humu JF mmejipambanua ni kiasi gani mlivyo na roho za kishetani kabisa kushangilia waTanzania kuuliwa kwa sababu tu Samia aendelee kutawala kwa mabavu.
Nisipochukia watu kama wewe, nitachukia kitu gani?

Halafu unajifanya unamcha Mungu!
 
arabuni panaingiaje kwenye mada za Tanzania?. Tatizo wengi wenu mnaomchukia SSH mnaendekeza ubaguzi binafsi wa anapotokea.
Tamaduni za huko ndizo anazotaka kuzitumia hapa; haiwezekani. Sisi hatuwezi kuwa mali ya mfalme; akipitisha jambo tuiname na kufanya anavyotaka yeye.
Huo siyo ubaguzi, ni 'fact' ambayo ipo wazi.
Wewe unasema "anapotokea", na hilo ndilo linalomhusisha na tabia hizo za huko unakosema anatokea.

Sasa kwa nini nikosee kusema ukweli wakati hata wewe mwenyewe unakiri anatokea huko.
 
Upuuzi huu ulimkosesha Salim Ahmed Salim mara mbili nafasi ya kuwa rais wa JMT, mkasema mwarabu ataiuza nchi kwa jamaa zake, Mungu akaamua kumlipia Salim nafasi aliyoipoteza kwa kuhakikisha anakuwa Rais wa sita wa Tanzania ili muumie vizuri.
Anayeumia ni Samia Suluhu Hassan na nyinyi nguruwe wake. Na ataendelea kuumia hadi aingie kaburini. Hataona tena maisha ya utulivu maisha yake yote yaliyobaki..

Na nyinyi nguruwe, wakati wenu utafika.
Kule kujigeuzageuza rangi kama vinyonga hakutawasaidia tena. Rangi yenu halisi imekwishatambulika.

Nakukumbusha tu tabia zako za kinafiki unazoonyesha mara kwa mara humu JF.
 
Heshima kwenye nchi lazima iwepo, hamuwezi kuchoma mali za watu halafu mtandikiwe zulia jekundu kama marais vile!.

Mpaka leo wakazi wa njia ya kuanzia pale Magomeni Manispaa mpaka Morocco hawatumii mwendokasi tangu zile vurugu za October 29, hatujaongelea namna wafanyakazi maelfu wa vituo vya mafuta wanavyosota mitaani baada ya ofisi zao kuchomwa moto na vijana walioshikiwa akili na kina Mange na Nuruvazi.

Samia yupo leo kesho na mpaka 2030 kwa mapenzi ya Mungu.
 
Tamaduni za huko ndizo anazotaka kuzitumia hapa; haiwezekani. Sisi hatuwezi kuwa mali ya mfalme; akipitisha jambo tuiname na kufanya anavyotaka yeye.
Huo siyo ubaguzi, ni 'fact' ambayo ipo wazi.
Wewe unasema "anapotokea", na hilo ndilo linalomhusisha na tabia hizo za huko unakosema anatokea.

Sasa kwa nini nikosee kusema ukweli wakati hata wewe mwenyewe unakiri anatokea huko.
Samia ni mzenji. Ukichunguza asili yake utakuta mzazi mmoja anatokea Oman mwingine kwao Rufiji, Kilwa Kivinje au Mwanarumango.

Hayati Ali Mwinyi Mzazi wake mmoja alikuwa mwarabu na mwingine kwao Kisarawe, nusu mwarabu nusu mzaramo.

Kushikia bango nusu mwarabu ya SSH ni akili za kibaguzi na za kimaskini pia.

Hata JPM alipokuwa Rais tulipatenga kwao Chato, mpaka ikabidi wenye akili timamu waulize kwani Chato sio sehemu ya JMT?.
 
Unataka nisichukie waTanzania kuuliwa kama wanyama?

Hata nguruwe kama wewe mkiuliwa bila ya kupitia njia za kisheria nitachukia.

Wewe na baadhi humu JF mmejipambanua ni kiasi gani mlivyo na roho za kishetani kabisa kushangilia waTanzania kuuliwa kwa sababu tu Samia aendelee kutawala kwa mabavu.
Nisipochukia watu kama wewe, nitachukia kitu gani?

Halafu unajifanya unamcha Mungu!
Nidhamu lazima iwepo kwenye nchi, hamuwezi kuchoma moto nchi nzima halafu mchekewe kwa kisingizio cha uhuru na demokrasia.

Mtaumizwa halafu hakuna kitu huo uhuru utafanya kuwasaidia baada ya kuwa mmeshaumizwa.
 
Nikisema wewe ni nguruwe, elewa kuwa sikosei kukupa hadhi hiyo.
Kinachoendelea ni kwamba ni nguruwe ambaye karibuni utakuwa mzoga.
 
Samia ni mzenji. Ukichunguza asili yake utakuta mzazi mmoja anatokea Oman mwingine kwao Rufiji, Kilwa Kivinje au Mwanarumango.

Hayati Ali Mwinyi Mzazi wake mmoja alikuwa mwarabu na mwingine kwao Kisarawe, nusu mwarabu nusu mzaramo.

Kushikia bango nusu mwarabu ya SSH ni akili za kibaguzi na za kimaskini pia.

Hata JPM alipokuwa Rais tulipatenga kwao Chato, mpaka ikabidi wenye akili timamu waulize kwani Chato sio sehemu ya JMT?.
Sina muda tena wa kupoteza kusoma uchafu toka kwa nguruwe.
Naandika tu chochote nguruwe asome.
 
Back
Top Bottom