gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Acha ujingaMàana ni ileile. Kama alimaanisha tusi basi ni lilelie. Huwezi sema sikuiba ila nilichukua bila ruhusa
Acha ujingaMàana ni ileile. Kama alimaanisha tusi basi ni lilelie. Huwezi sema sikuiba ila nilichukua bila ruhusa
Umejuaje ni ujinga kama ww pia sio mjinga? ShwainAcha ujinga
Yeah it's possible. Kwani mke wangu kiuhalisia ana kifirio? It's still aan ironic language shwainUkirudi home kwako mkeo akichelewa kukufungulia mlango, mwambie "umenifira mke wangu"
Ni rejea kwa kusisitiza kuwa hakukuwa na matusi, hivi shuleni ulienda kusomea ujinga wewe?Sasa biblia ni sehemu ya rejea!?..kulawiti na kufira ni kitu kimoja
Nchi???
Mkuu kuna huyu mtu huko XAudio au video yake inapatikana wapi?
hua nacheka sana nionapo id yakoSiyo kwa maneno kama ya Nshala
Najua aisee.Mkuu kuna huyu mtu huko X
Anaharibu sana username yako
Pitia link
![]()
Kasome Biblia wewe chawa.Sasa biblia ni sehemu ya rejea!?..kulawiti na kufira ni kitu kimoja
Mi nisome kitabu Mungu anapigana mieleka na binadam na Mungu akashindwa!?..si Bora nimsuke paka mabutu au nipige nyeto tuKasome Biblia wewe chawa.
Hakika umenena vyema sana Mkuu wangu Mwanasheria Mkuu wa Chama chetu CHADEMA.Hawa watu wako hapo kiramu na ubabe ndo maana umesema nchi Wameilawiti na Kuifira na kuifanyia kila aina ya ubaya.Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka jamani na ni wazi yuko tayari kwa lolote.
Uhusiano ndiyo huo huo, kuwa haya siyo maneno ya staha kutamkwa na mtu ambaye ni mshauri wa sheria wa chama.Nilichosema na ulichosema vina uhusiano gani?
Atakufira kwa dildoYeah it's possible. Kwani mke wangu kiuhalisia ana kifirio? It's still aan ironic language shwain
Lazima ucheke, hii ndiyo kiboko ya Magufulihua nacheka sana nionapo id yako
Mtu akifirwa asilitamke hilo neno kwasababu siyo neno la staha? Nchi inayotawaliwa kinyume cha katiba yake inafirwa, na hili neno ni mahali pake sahihi kutamkwa!Uhusiano ndiyo huo huo, kuwa haya siyo maneno ya staha kutamkwa na mtu ambaye ni mshauri wa sheria wa chama.
Lissu ni ICON wa siasa za Tanzania kwa nyakati hizi. Mjuba huyo ana influence kubwa sana, watu wa ccm wanajua hiloViongozi wa Tanzania wanamuogopa Lissu
Kamuambie mkeo kuwa umefirwa, halafu leta majibu hapaMtu akifirwa asilitamke hilo neno kwasababu siyo neno la staha? Nchi inayotawaliwa kinyume cha katiba yake inafirwa, na hili neno ni mahali pake sahihi kutamkwa!
Sasa haya nayo ni maswala ya ku'justify' ukilaza wa hali ya juu kabisa wa Samia?Cheap popularity kaitafuta mwanasheria wa CHADEMA, kosa alilofanya SSH alikuwa anafanya mara kwa mara marehemu JPM na marais wengi duniani wanafanya.
Kule USA Rais wao anashindwa kutamka majina ya wageni wanaokwenda white house, haimaanishi kwamba hana uwezo kisa kakosea kutaja bei sahihi ya petrol.
Hali itaendelea kuwa ngumu tu, msifikiri kuua waTanzania ni jambo dogo.Kamuambie mkeo kuwa umefirwa, halafu leta majibu hapa