Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Black is Black, red is redAkiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka jamani na ni wazi yuko tayari kwa lolote.