Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.