Mwanasheria Mkuu wa Serikali kaamua kujikalia kimya kuhusu suala la Bandari?

Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.

Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.

Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.

Tusubiri.
Nadhani mjadsla uwe Watanganyika tufanye nini? Hawa wazazibari wameshamaliza dhamira yao, sisi tunafanya nini?
 
Hivi hatuwezi kudukua tukapata hawa wawili walihongwa ngapi? Tutafute mtaalamu adukue akaunti za Dubai tuone kama kweli hawana akaunti guko na zina fedha kiasi gani
 
Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.

Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.

Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.

Tusubiri.
Atafanyaje kwani!!
 
Imekuwa ni show ya Mh. Tulia Ackson Mwansasu na Mh. Waziri Mbalawa hawa ndo mmoja ni Mwanasheria Mkuu na mwingine ni naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali huyo mwingine ana kazi nyingi
Yaani mheshimiwa alivyoshikia kidedea kutetea... Loh.. Nimedharau kabisa elimu zao... Maana hazina faida kwa taifa ila matumbo yao!
 
Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.

Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.

Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.

Tusubiri.
Atakuwa anatishwa kuua, PM umemuona anaongea chochote?
 
Hata kwenye mikataba ya SGR, Stieglers' Gorge, Buhongwa Busisi na Chato Airport hatukumsikia Mwanasheria Mkuu akiongea. Mbaya zaidi hata hiyo mikataba hatukuiona.
 
Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.

Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.

Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.

Tusubiri.
Kwanini hajibu hoja zinazoibuliwa na wazalendo. Tusubiri pengine anazikusanya kwanza ili ajibu kwa mpigo
 
Anawasubiria wapumbavu wamalize upumbavu wao kwanza wa kupotosha!
 
Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.

Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.

Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.

Tusubiri.
usikute na Yeye hajui mkataba huu umetoka wapi? pengine na yeye anauona mtandaoni, logic fupi tu ingekuwa kashiriki mpaka sana nadhani angekuwa kashapigwa chini.
 
Kamanda Mbowe amepewa za uso[emoji23][emoji23]
Acha dp world achukue bandari hiyo
Apige kazi
Kikubwa mkataba uwe sawa kwa,pande zote mbili
Hawa waliyokuwa wanaiendesha,kuisimamia bandari
Hawawezi kitu zaidi ya kukatika mauno tu
Mijitu wezi,wavivu tu ....watu wanataka bandari kuwa na ufanisi tu

Ova
 
Back
Top Bottom