Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mbona hizi ni kama kelele za chura tuRais Wangu Samia kwani husikii vilio vya wapiga kura wako mama!??
Kwa kawaida, AG ndio husimama Bungeni(tena ikibidi mara kwa mara) kutetea vifungu vya kisheria vinavyotiliwa mashaka au kupingwa na wabunge, ila katika hili, Spika na Wabunge wake ndio walisimama kama AG. Ajabu sana!!Ajabu sana
Chenge angeshafafanua
Alaa..!!Mbona hizi ni kama kelele za chura tu
Tulia aliamua kuwa mwana sheria mkuu wa serikali. Mteuliwa kawa bubu.Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.
Hata wabunge wenye akili japo ni wa mchongo siku hiyo hawaku hudhuria kikao cha kuuza bandari.Waandamizi wengi tu ndani ya serikali wako against hiyo kitu.
Ni jeuri na dharau nyingi Sasa kusikiliza ni Hadi watanganyika muamue kudai haki yenuRais Wangu Samia kwani husikii vilio vya wapiga kura wako mama!??
Tulia aliamua kuwa mwana sheria mkuu wa serikali. Mteuliwa kawa bubu.
Wazenji walia amua kumuweka pembeni na kufanya kazi ya kuuza bandari wao wenyewe.
Ati mwana sheria wa viwanja vya ndege ndia kaandaa mikataba ya kuuza bandari za Tanganyika. Mambo ya kishenzi kabisa.
Ni shida sana, tunapoelekea ataiuza nchi hiiWaandamizi wengi tu ndani ya serikali wako against hiyo kitu.
Imekuwa ni show ya Mh. Tulia Ackson Mwansasu na Mh. Waziri Mbalawa hawa ndo mmoja ni Mwanasheria Mkuu na mwingine ni naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali huyo mwingine ana kazi nyingiNilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.