Kwa hiyo huu nkataba mbona sijaona sahihi ya Mwanasheria zaidi ya waziri wa ujenzi na karibu mkuuHakuna Mkataba bila Mwanasheria! Na ukiona Mkataba hauna Mwanasheria ujuwe huo ni Mkataba wa Kugushi! Kwa ukimya wa AG usikufumbe macho!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wanasheria walisha bariki Mkataba, wanacho fanya Mawaziri na makatibu ni kukamilisha process ya Mkataba!!Kwa hiyo huu nkataba mbona sijaona sahihi ya Mwanasheria zaidi ya waziri wa ujenzi na karibu mkuu
Nadhani mjadsla uwe Watanganyika tufanye nini? Hawa wazazibari wameshamaliza dhamira yao, sisi tunafanya nini?Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.
Atafanyaje kwani!!Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.
Yaani mheshimiwa alivyoshikia kidedea kutetea... Loh.. Nimedharau kabisa elimu zao... Maana hazina faida kwa taifa ila matumbo yao!Imekuwa ni show ya Mh. Tulia Ackson Mwansasu na Mh. Waziri Mbalawa hawa ndo mmoja ni Mwanasheria Mkuu na mwingine ni naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali huyo mwingine ana kazi nyingi
Nani alimpigia kura sa100? Kwa uchaguzi upi?Rais Wangu Samia kwani husikii vilio vya wapiga kura wako mama!??
Atakuwa anatishwa kuua, PM umemuona anaongea chochote?Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.
Huyu pamoja na kwamba ni tapeli lakini alikuwa anajali kwanza nchi yakeAjabu sana
Chenge angeshafafanua
Kwanini hajibu hoja zinazoibuliwa na wazalendo. Tusubiri pengine anazikusanya kwanza ili ajibu kwa mpigoNilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.
Atakipata 2025 maana wanamlaghai kuwa wapo nayeMbona hizi ni kama kelele za chura tu
Na stand zote ili ziboreshweTukitoka TPA tunawapa TAA. Mtalia milio yote mwaka huu
usikute na Yeye hajui mkataba huu umetoka wapi? pengine na yeye anauona mtandaoni, logic fupi tu ingekuwa kashiriki mpaka sana nadhani angekuwa kashapigwa chini.Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba.
Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati wowote anaweza kuondolewa kwenye hiyo nafasi.
Kwa mtazamo wangu, kumuondoa wakati huu, kutaibua maswali ukizingatia ukimya wake.
Tusubiri.
Acha dp world achukue bandari hiyoKamanda Mbowe amepewa za uso[emoji23][emoji23]