Halima Mdee na mkewe Esther Bulaya ni mashujaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1635479View attachment 1635480View attachment 1635481View attachment 1635482View attachment 1635483
we acha tu ndugu. Hiyo ndio dhana ya utawala bora ya tzAnayebidi aongelee hili suala kwa sasa ilibidi awe NEC lakini nao simu hawapokei wakipgiwa. Wanaona aibu hata kutoa matamko. Sasa huyu mwanasheria mkuu huo mchakato wa ndani ya CHADEMA alikuwepo mpaka apingane na Katibu wa chama!
Kweli Tanzania ina ajabu sana.
Yaani wabunge ni Chadema lakini wanalindwa na CCM?Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
Wabaki nao huko hukoKwa kweli chama mboga mboga wana huruma. Kama aliyo nayo mbwa mwitu kwa mwana kondoo!
I've never trusted the contents of this paper. If so, it is evident that the government has a hand in this immoral and dirty game. Shame on it!Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
Na ikitokea hivyo Chadema itakuwa TLP ijayo.The thing is katika taasi ya CHADEMA kuna watu wakubwa kuliko taasisi yenyewe , hiki kitu siyo rahisi kukikuta katika taasisi zinazo jielewa
Hapo kifuatacho ni kalipio kali basi (msitegemee kusikia akina halima wamefukuzwa , )
[emoji1787][emoji1787]
Yaani wabunge ni Chadema lakini wanalindwa na CCM?
SawaMaendeleo hayana chama! Heko sasa na alindwe na waliokuwa mabouncer wa Lissu!
Mwanasheria mpumbavu mkubwa! Kuwafukuza uanachama ni kugusa makalio yako! Disgusting!!!!!!!!!!!!!!Mwanasheria wa CCM kazini.. kumfurahisha baba yake.
Mshindo wa mlipuko huibua wajinga kama huyu!Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
Kesho amekuwa leo. TunasubiriKesho ndio kesho ngoja tuone πππ
Nalog off
Chadema haitashughulika kuwafukuza ubunge ila itawafukuza uanachama wanachama wake, hakuna sheria inayokataza mwanachama kufukuzwa, wataendelea kuwa wabunge wa chadema kupitia CCM.Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
Ijumaa ndio leo. Hadi sasa hakuna update yeotr ya kikao kuhusu Halima au Mbowe aliyrtajwa na Halima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho ndio kesho ngoja tuone [emoji23][emoji23][emoji23]
Nalog off
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!
AG zingatia katiba ya nchi, Kwa nn NUSRAT atolewe gerezani usiku na kukimbizwa kwenda kuapishwa? Ninyi ndiyo mnaoichafua hii nchi. Kama ww ndiyo AG wa serikali hivi KWELI wananchi tutarajie nini kama siyo mateso ya kuteswa na hizo Sheria zenu za kulinda TABAKA TAWALA?Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.
Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.
Chanzo: Gazeti la Uhuru
Maendeleo hayana vyama!