Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

Serikali ya CCM Mpya haina historia ya kusimamia haki

MAGUFULI alivowanyooshea na kuwafokea wanasheria wanaochelewesha kesi ili haki isipatikane alaumu kukosekana maadili mema

Anayebidi aongelee hili suala kwa sasa ilibidi awe NEC lakini nao simu hawapokei wakipgiwa. Wanaona aibu hata kutoa matamko. Sasa huyu mwanasheria mkuu huo mchakato wa ndani ya CHADEMA alikuwepo mpaka apingane na Katibu wa chama!

Kweli Tanzania ina ajabu sana.
we acha tu ndugu. Hiyo ndio dhana ya utawala bora ya tz
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.

Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.

Chanzo: Gazeti la Uhuru

Maendeleo hayana vyama!
Yaani wabunge ni Chadema lakini wanalindwa na CCM?
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.

Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.

Chanzo: Gazeti la Uhuru

Maendeleo hayana vyama!
I've never trusted the contents of this paper. If so, it is evident that the government has a hand in this immoral and dirty game. Shame on it!
 
The thing is katika taasi ya CHADEMA kuna watu wakubwa kuliko taasisi yenyewe , hiki kitu siyo rahisi kukikuta katika taasisi zinazo jielewa

Hapo kifuatacho ni kalipio kali basi (msitegemee kusikia akina halima wamefukuzwa , )

[emoji1787][emoji1787]
Na ikitokea hivyo Chadema itakuwa TLP ijayo.
 
Leo gazeti la Uhuru linamtetea Halima Mdee???

Maajabu ya dunia.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.

Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.

Chanzo: Gazeti la Uhuru

Maendeleo hayana vyama!

Mshindo wa mlipuko huibua wajinga kama huyu!
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.

Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.

Chanzo: Gazeti la Uhuru

Maendeleo hayana vyama!

Chadema haitashughulika kuwafukuza ubunge ila itawafukuza uanachama wanachama wake, hakuna sheria inayokataza mwanachama kufukuzwa, wataendelea kuwa wabunge wa chadema kupitia CCM.
 
AG hana mamlaka ya kuwaonya CHADEMA labda ni kwa sababu hajawahi kua kwenye ulingo wa Siasa hajui hayo.Utaratibu ni kua wakivuliwa wanachama watapeleka majina mbadala.Mbona hakuwahi muonya lipumba wakati ule
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.

Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.

Chanzo: Gazeti la Uhuru

Maendeleo hayana vyama!
 
Huku Vingi kumbe ni noma!

Hata wanasheria huwa wanavuta bange?

Kwani CHADEMA ki taasisi wapo chini ya AG??
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema mchakato wa uteuzi na uapishwaji wa wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA ulifuata taratibu zote za kisheria na kikatiba.

Attorney General amewaonya CHADEMA kutowagusa wabunge hao kwani mkono wa sheria utawafuata popote walipo.

Chanzo: Gazeti la Uhuru

Maendeleo hayana vyama!

AG zingatia katiba ya nchi, Kwa nn NUSRAT atolewe gerezani usiku na kukimbizwa kwenda kuapishwa? Ninyi ndiyo mnaoichafua hii nchi. Kama ww ndiyo AG wa serikali hivi KWELI wananchi tutarajie nini kama siyo mateso ya kuteswa na hizo Sheria zenu za kulinda TABAKA TAWALA?
 
Back
Top Bottom