Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Hiki kitu ndo nyie kima mnamharibia Lissu na CHADEMA!! Huwezi kupambana na maadui wawili kwa wakati mmoja. Punguzeni utoto na ujuaji.Jambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.
Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Naona kamekuwa kamtindo ka kutafutia wapinzani makosa yasiyo na dhamana.Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.
Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.
Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Safi kabisa.Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.
Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.
Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Nenda kamsaidieJambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.
Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Mambo ya Kingai hayoMkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.
Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.
Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Unaweza, lakin ukiwa umejipanga. Some politicians dunian wame prove that beforeHiki kitu ndo nyie kima mnamharibia Lissu na CHADEMA!! Huwezi kupambana na maadui wawili kwa wakati mmoja. Punguzeni utoto na ujuaji.
Yale yale Mbowe Gaidi😅😅Hiki kitu ndo nyie kima mnamharibia Lissu na CHADEMA!! Huwezi kupambana na maadui wawili kwa wakati mmoja. Punguzeni utoto na ujuaji.
Mpaka Mama amalize atabeba dhambi nyingi sana. Endeleeni kujidanganyaLemma yuko wapi na Mnyika? Nadhani kuna mtu anachomeshwa ndani kwa ndani. Wakamtwe wote Lemma abaki? I smell a rat
Ana haki kujitetea na ana haki ya rufaa, ndio siasa alizochagua. Ali Kuta wenzake wameweka mazingira mazuri ya kisiasa akawaona wapumbavu. Sasa ngoja aonje nginja nginjaJambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.
Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Sawa.Nenda kamsaidie
nimewambia watu kwamba, kwalisu hili litakuwa shitaka la pili ,enzi ya mkapa aliwahi shitakiwa. Akiwa anapinga watu kuondolewa kwenye makazi na kufukiwa huko nyamongoJambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.
Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Sasa mkuu huko si kujichosha na kuwasumbua polisi kwa hoja ambazo zingejibiwa kirahisi na kutekeleza matakwa ya Wananchi?Ana haki kujitetea na ana haki ya rufaa, ndio siasa alizochagua. Ali Kuta wenzake wameweka mazingira mazuri ya kisiasa akawaona wapumbavu. Sasa ngoja aonje nginja nginja
Hiyo imekaa vizuri ht hivyo walichelewa. Km mtu amekata tamaa ajimalize mwenyewe siyo kutuharibia nchi yetu tukufuMkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.