PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.

Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
We kwl hambazo, Lissu hawezi kufikia ht nusu ya robo yz Mbowe. Yule ni mshamba tu wa kinyaturu
 
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.

Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.

Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Gentleman,
Kwaajili ya usalama wake,
nadhani ni muhimu sana akazuiliwa korokoroni hadi J3 mchana ndipo jioni wampeleke mahakamani 🐒
 
Sasa mkuu huko si kujichosha na kuwasumbua polisi kwa hoja ambazo zingejibiwa kirahisi na kutekeleza matakwa ya Wananchi?

Say no tu Siasa za Udalali
Hapana, Lissu hataki hayo mambo, anataka sheria ifuatwe, sheria iko Mahakamani, na sisi hatuingilii uhuru wa mahakama
 
Ana haki kujitetea na ana haki ya rufaa, ndio siasa alizochagua. Ali Kuta wenzake wameweka mazingira mazuri ya kisiasa akawaona wapumbavu. Sasa ngoja aonje nginja nginja
Wenzake wakina nani? Hao walikuwa ni mamluki wenu. Kwa sasa kinachotakiwa ni kimoja tu! Fanyeni mabadiliko ya kweli, ya haki na usawa; ili wananchi wawachague viongozi wanao wapenda.

Haiwezekani mgombea na mwenyekiti wa chama tawala amteue msimamizi wa uchaguzi (na ambaye pia ni kada mtiifu wa hicho chama tawala), halafu msimamizi huyo huyo baada ya kura kupigwa, amtangaze mpinzani kushinda huo uchaguzi. Lazima atakuwa tu na matatizo ya akili.

That's why no reform, no election is needed! Ok?
 
Jambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.

Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Huyo makalio wamnyooshe,huwezi sema utachochea uasi pasikalike,sisi na familia zetu hatumudu kuishi ubelgiji kama yeye,yaani wamvundike humo ndani atoke 2035
 
Jambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.

Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Hii nchi ya ajabu sana. Amani wanaivuruga wenye kutakitakiwa kuilinda. Uhaini neno kubwa sana.
Wajadiriana wameona hii oparation inatumaliza ngoja tulianzishe
 
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.

Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.

Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Aluta Continua
Mapambano yaendelee
 
Naona kamekuwa kamtindo ka kutafutia wapinzani makosa yasiyo na dhamana.

Kama kuna uhaini nchini basi ni ule unaofanywa na viongozi wa CCM, wanaotoa rasilimali zetu kwa wageni bila faida ya msingi kwa Watazania!
na wewe ni chizi kweli sasa uhaini na kutoa rasilimali vinaingiliana kweli naona hata neno uhaini hujui maana yake unaweza kuacha kuandika kuliko kuonyesha ujinga jukwaani
 
Mashitaka yataweza kubadilishwa wakati wowote, au vipi
Treason has no alternative verdict.

Its either you conspired, abetted, committed or concealed. There's no middle ground.

If you can't establish a case on this, then acquit the suspect.
 
Unaweza kuwa sahihi. Hata hivyo atakapofikishwa Mahakamani anaachiwa. Akitoka nje anakamatwa tena na kurejeshwa Mahakamani kwa mashitaka mapya. Huu utaratibu sio mgeni natumaini.
 
Jambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.

Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Mshaurini awe anafikiri kabla ya kuropoka. Ana kauli mbaya zisizovumilika kwenye nchi ya amani.
 
Back
Top Bottom