PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48

PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
10 Aprili 2025
Songea, Ruvuma
Tanzania

JESHI LA POLISI LAFUNGUKA SABABU YA TUNDU LISSU KUKAMATWA NA KUTIWA MBARONI

View: https://m.youtube.com/watch?v=WIzOBfuzNlQ
RPC Ruvuma amesema anapenda kutoa taarifa rasmi kwa umna juu ya kukamatwa kwa Tundu Antipas Lissu eneo la Soko Kuu wilaya ya Mbinga, uchochezi wa kutofanyika uchaguzi 2025.

Polisi wamethibitisha amesafirishwa kwenda Dar es Salaam kujibu tuhuma za uchochezi.

RPC wa mkoa wa Ruvuma akiongea kwa hisia kali, amesisitiza kuwa ni marufuku kusambaza, kueneza au kuhutubia NO REFORMS NO ELECTION 2025 na kuwa jeshi halitasita kumkamata mtu yoyote anayehubiri ujumbe huo.

RPC wa mkoa wa Ruvuma amewataka wanasiasa kunadi sera zao na watalindwa kwa mujibu wa sheria

RPC wa Ruvuma amepiga marufuku kuchochea uasi wa NO Reforms No Election 2025
 
Jambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.

Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Wanasema meno uhaini ili asipate dhamana!
 
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.

Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.

Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Kwenye nchi hii ni utawala wa Mwalimu Nyerere peke yake ambao umewahi kutikiswa na wahaini wa kweli. Hizi tawala zingine pumbavu zinazua tuhuma za kipumbavu tu ili kupunguza kasi ya mpinzani yeyote anayeonekana kuwa na nguvu kubwa.
 
Kama kudai Tume huru ya uchaguzi Ili kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura ni uhaini,

Mimi mmoja wao.
 
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.

Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.

Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Kubambikiza kesi ni jadi yao
 
Charge Sheet
 

Attachments

  • 20250410_171150.jpg
    20250410_171150.jpg
    451.9 KB · Views: 31
Tutashi
Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Kituo cha Polisi kati (Central) na tayari amehojiwa na Ofisi ya Upelelezi ya Kanda Maalumu.

Ambapo amesema Lissu amehojiwa kwa tuhuma mbili ambazo ni Uhaini na kutoa taarifa za uongo huku ikielezwa kwamba atafikishwa mahakamani ndani ya Saa 48.

Pia, Soma: Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi
Tutashinda ila tutacheleweshwa.
 
Moto umekata;kutoka kupigiwa chepuo ya tuzo ya Mo Ibrahim hadi kuwa "Fred Fungafunga".
 
Huyo makalio wamnyooshe,huwezi sema utachochea uasi pasikalike,sisi na familia zetu hatumudu kuishi ubelgiji kama yeye,yaani wamvundike humo ndani atoke 2035
Mimi nadhani makalio ni wale wanaokataa misingi ya haki, uhuru na usawa kutumika kwenye uchaguzi. Ila siyo mtu aliyeamua kujitoa kwa faida ya wengi. TAL ni shujaa kwa wananchi walio wengi kuliko unavyofikiri wewe ambaye maisha yako bila ya ccm si chochote, si lolote.
 
Hiki kitu ndo nyie kima mnamharibia Lissu na CHADEMA!! Huwezi kupambana na maadui wawili kwa wakati mmoja. Punguzeni utoto na ujuaji.
Punguani mmoja wewe. Akili ya kunishauri unaipata wapi, na wakati hapo ulipo una akili ya kula na kwenda tu uani kukata gogo.
 
Jambo la msingi wakumbuke tu Lissu siyo kama Mbowe! Lissu ana backup ya watu/makundi mengi, ndani na pia nje ya nchi. Halafu kuna watu naona wanalichukulia neno UHAINI kwa wepesi wepesi tu.

Zamani ilikuwa uchochezi! Naona safari hii wameamua kuja na msamiati mpya! UHAINI!!
Mkuu Tate, Tate Mkuu
naunga mkono hoja
hakuna uhaini wowote hapo kwa mujibu wa sheria vifungu
Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies! Pia soma Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

P
 
Back
Top Bottom