residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu Bams ,kongole sana kwa hili,"kutenda haki ndiyo kinga pekee ya kutoshitakiwa". Mungu akubariki sana ndugu.Omar al Bashiri alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Sadam alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Hosn Mubarak alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Ndugai na genge lake kupitisha sheria zile za eti kinga ya kutoshtakiwa, ni ujinga mtupu. Cha muhimu ni kutenda haki. Hiyo ndiyo kinga ya kutishtakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Just produce the evidence to corroborate your accusations. It is that simple.Sasa mbona hutaki to be brought to justice those responsible for Lisu shootings?
Kampeni za jiwe zinaenda kugubikwa na kashfa ya shambulio la Lisu. Huyu mzungu anafanya timing mbaya Sana. Kwann hakuyasema haya kabla?
Hilo neno 'mpinzani' katika mjadala huu ni kundi la watu walioamua kuunda chama cha siasa ili kuwa na mtizamo tofauti na ule unaofuatwa na chama kinachotawala.Mpinzani ni nani?
Wewe kwa akili yako uchunguzi huru ni upi na unataka ufanywe na akina nani.Hili poyoyo.
Kwanini mnakataa uchunguzi huru ili tumnange mwenyekiti?
Utaratibu gani wanaufanya policcm juu ya uchunguzi WA lissu?Wewe kwa akili yako uchunguzi huru ni upi na unataka ufanywe na akina nani.
Ina maana wewe haujaukubali utaratibu waliokuwa wanaendelea nao Jeshi la Police.
Hivi wengine sijui akili zenu zimekaaje