residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu Bams ,kongole sana kwa hili,"kutenda haki ndiyo kinga pekee ya kutoshitakiwa". Mungu akubariki sana ndugu.Omar al Bashiri alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Sadam alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Hosn Mubarak alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Ndugai na genge lake kupitisha sheria zile za eti kinga ya kutoshtakiwa, ni ujinga mtupu. Cha muhimu ni kutenda haki. Hiyo ndiyo kinga ya kutishtakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app