Mwanasheria wa kimataifa wa Lissu, Robert Amsterdam, asema wanaendelea na uchunguzi wa tukio la Lissu kushambuliwa na watatoa taarifa ya uchunguzi huo

Mwanasheria wa kimataifa wa Lissu, Robert Amsterdam, asema wanaendelea na uchunguzi wa tukio la Lissu kushambuliwa na watatoa taarifa ya uchunguzi huo

Omar al Bashiri alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Sadam alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Hosn Mubarak alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Ndugai na genge lake kupitisha sheria zile za eti kinga ya kutoshtakiwa, ni ujinga mtupu. Cha muhimu ni kutenda haki. Hiyo ndiyo kinga ya kutishtakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bams ,kongole sana kwa hili,"kutenda haki ndiyo kinga pekee ya kutoshitakiwa". Mungu akubariki sana ndugu.
 
Kampeni za jiwe zinaenda kugubikwa na kashfa ya shambulio la Lisu. Huyu mzungu anafanya timing mbaya Sana. Kwann hakuyasema haya kabla?

Utata wa shambulio la Lissu unawahusu pia waliotia nia CCM tokea CDM.

Kwamba walikuwa CDM wanaona yaliyomsibu nwenzao. Kwamba hata common sense hazikuwaelekeza mtuhumiwa halisi alikuwa nani.

Kwamba hilo halikuwa kitu kwao huko na huku pia. Mbona Pana tatizo la wazi?

Vipi walimudu au wanamudu kuwa marafiki wa Mungu na Shetani kwa wakati mmoja. Itabidi kutoa angalau maelezo.
 
Mpinzani ni nani?
Hilo neno 'mpinzani' katika mjadala huu ni kundi la watu walioamua kuunda chama cha siasa ili kuwa na mtizamo tofauti na ule unaofuatwa na chama kinachotawala.

Wameamua kusimamia kazi hiyo ya kueneza mawazo yao baina ya jamii ili iwaunge mkono ili wao wakubaliwe kupewa madaraka na wananchi kutimiza hayo wanayoyalenga.

Wewe umeuliza, sijui unaelewa nini kuhusu 'wapinzani', kama nilivyolitumia neno hilo kwenye mjadala huu.

Nimalizie kwa kusema tu kwamba umenipotezea muda kwa kuuliza swali la kipuuzi namna hiyo.
 
Hili poyoyo.

Kwanini mnakataa uchunguzi huru ili tumnange mwenyekiti?
Wewe kwa akili yako uchunguzi huru ni upi na unataka ufanywe na akina nani.
Ina maana wewe haujaukubali utaratibu waliokuwa wanaendelea nao Jeshi la Police.
Hivi wengine sijui akili zenu zimekaaje
 
Wewe kwa akili yako uchunguzi huru ni upi na unataka ufanywe na akina nani.
Ina maana wewe haujaukubali utaratibu waliokuwa wanaendelea nao Jeshi la Police.
Hivi wengine sijui akili zenu zimekaaje
Utaratibu gani wanaufanya policcm juu ya uchunguzi WA lissu?

Ili tumnange mbowe kwamba ndiye muhusika WA Yukio lá lissu waje wachunguzi kutoka nje?

Cctv mlipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom