Mwanasheria wa P Diddy afichua sababu za rapa huyo kutunza chupa 1000 za mafuta nyumbani kwake

Sheria ndo wakati mwingine imekaa kijinga ndo maana kuna mazingira busara za jaji lazima zitumike maana hapo wakili akiuliza ni kinyume cha sheria kumwaga mafuta uliyonunua mwenyewe? Jibu ni hapana, Sasa didy aliyamwaga.
 
Inasemakana iyo michezo alikua anawafanyia watoto wadogo mfano justin bieber akiwa bado mdogo na pia hata hao watu wazima alikua anawachanganyia madawa kwenye vinywaji ndio anawazibua mitaro lakini hili halina ushaidi wa wazi inawezekana zikawa story cha kuchangamsha genge tu

Mashtaka mengine anatuhumiwa kwa usafirishaji haramu wa binadamu kwa matumizi ya ngono yaani ile umemtumia demu nauli aje geto haujamwambia kwamba mtapiga game lakini kibinadamu tu demu akiitwa geto anajua nini kinafuata uko, sasa mademu wanatimba kwenye hekalu lake wanamtamanisha mwamba anakula mzigo wanampakazia kesi ubakaji, unyanyasaji kingono n.k ili wampige hela ndefu.

Kwa kifupi kesi yake ni mwenendo ule ule wa kesi za wakina ronaldo, neymar n.k wa kuwa framed na wanawake ili wakupige hela, sheria za marekani zina loopholes nyingi sana kwa mwanamke kama akiamua kumpiga tukio mwanaume
 
Anatuhumiwa kwa kufanya unyanyasaji wa ngono waume kwa wake,vile vile hawo walionyanyaswa inadaiwa walikuwa wanatoka mbali ie..Africa
 
Hawa si watu wa kuwaamini, huku kwetu wanatulazimisha ushoga huko kwao wanawakamata wenye kuwapaka wenzao mafuta, mbona hatuwaelewi?
Kuna kitu nyuma ya hili jambo.
 
Kwa Diamond na Babu Tale alitumia mbili tu, zikabaki 998
 
Nakazia ni lipi kosa la Sean Combs P didy?
 
nadhani issue ni kuwa aliwafanyia watu ambao umri wao ni mdogo
pia wengine aliwafanyia baada ya kuwalewesha
kuna mtoto wa Smith kadai alipelekwa na baba yake
 
Diddy na mwanasheria yake wote wapuuzi.

Wangekuta carton moja ingeelezeka , je perfume,lotion cologne wamekuta chupa ngapi kama yeye ni mtu wa kunua mzigo mwingi?
 
Wenzetu wana kazia sana sheria zao hata kama una hela.....naskia diddy aliomba atoe Billion 136 ili apewe dhamana ila mahakama ikakataa kbsa na akawekwa sehem maalum ili asijiue....!
 

Published September 27, 2024




Wakili wa Sean “Diddy” Combs ametoa maelezo ya ajabu kwa nini chupa 1,000 za mafuta ya watoto zilipatikana wakati wa uvamizi wa nyumba za rapper huyo.

Kulingana na shtaka ambalo halikufungwa wiki iliyopita, maajenti wa shirikisho walikuwa wamepata “zaidi ya chupa 1,000 za mafuta ya watoto na mafuta” wakati wa kuvamia majumba ya kifahari ya muziki huko Los Angeles na Miami mnamo Machi 25.

Wakili wa Diddy, Marc Agnifilio sasa amezungumzia mashaka yake kuhusu idadi ya upuuzi ya chupa zinazodaiwa kupatikana.

“Sidhani kama 1,000. Nadhani ilikuwa nyingi,” aliiambia The New York Post, kabla ya kupendekeza kwamba Diddy anapenda tu kuhifadhi vitu vyake muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…