Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Sheria ndo wakati mwingine imekaa kijinga ndo maana kuna mazingira busara za jaji lazima zitumike maana hapo wakili akiuliza ni kinyume cha sheria kumwaga mafuta uliyonunua mwenyewe? Jibu ni hapana, Sasa didy aliyamwaga.Atakua alinunua tu kwa sababu ana nyumba kubwa, si kama alizihitaji kwa matumizi yoyote.
Mawakili wakiulizwa sasa mbona zilikua tupu mafuta alienda wapi? Watasema kile kipindi ambapo joto lilipanda sana mafuta yaliharibika Diddy akaamua kuyamwaga chooni hivyo zikabaki chupa tupu!
Mawakili huwa na akili za kijinga sana