Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20 plus years of selling Johnson & Johnson...
Dido kama zoteee...Ukiachilia mbali mafuta, vitu gani vingine ananunua "in bulk" na vilikutwa vingi nyumbani kwake?
😅😅 We umenena mkuu, maana mle inaonekana kwenye majakuzi wamejaza ma baby Johnson na vilainishi.. ndio maana jamaa wapo soft kinomaa.. na Nina sikia mtoto wake mmoja nae ana msala unataka endana na baba yakeHatuja ambiwa kama alikuwa ana tumia mwenyewe
Jumba lenyewe mabaharia watupu mpka watoto wake kila baada ya siku massage wanamaliza vichupa vyote
Wampe kazi Fundi Lissu au Kibatala 😅😅Kama huyo ndo wakili wake ,anafungwa milele
Mafuta ya kuogea hayo 😅😅.. wanamimina kwenye jakuzi au ana mto wa mafuta .. wanayamimina mahala inakuwa kama mto.. mnaogeleaDiddy na mwanasheria yake wote wapuuzi.
Wangekuta carton moja ingeelezeka , je perfume,lotion cologne wamekuta chupa ngapi kama yeye ni mtu wa kunua mzigo mwingi?
Swali langu mbona jepesi sana Mkuu?Sasa mafuta kununua ni illegal?
Mambo mengi sanaDido kama zoteee...
Vijana walioenda kwa didi wamepata tabu sana..
Huenda ka miss mambo ya Diddy, maana kuna clip nilisikia voice wanadai ni Diddy na Burna.. mmoja anagugumia alikuwa anapekewa moto.. kidogo nidinde ila nikashtuka nikasema Hawa madume wote ikalala na hapo hapo 🤣🥹🤣Dah ila haya mambo bhana 😂 ht kama ndio kazi hv unawezaje kumtetea mtu kama diddy mahakamani kisa ety n mwanasheria wake 😭
Burna pamoja na ule ugumu wake nae kumbe wahuni walipita 😭Huenda ka miss mambo ya Diddy, maana kuna clip nilisikia voice wanadai ni Diddy na Burna.. mmoja anagugumia alikuwa anapekewa moto.. kidogo nidinde ila nikashtuka nikasema Hawa madume wote ikalala na hapo hapo 🤣🥹🤣
Diddy hata masiahara, kama alitaka apige hadi Mike Iron Tyson, 50 Cent.. Jayz alikuwa anapigwa pigwa matakoo... Burna kitu gani yuleee 🤣🤣🤣 kwa Diddy hata uwe mgumu kuliko chuma.. akikualika chumbani.. basi imeisha hiyo.. hata awe mwalimu wa makomandooo ataliwa tuBurna pamoja na ule ugumu wake nae kumbe wahuni walipita 😭
Dah sasa kama mtu kama Tyson na 50 cent wanainamishwa 😂 vp yule kijana wa Tandale ambaye tangu kitambo hataki kuyasema yaliyofanyika walipoenda kwa diddy 😭Diddy hata masiahara, kama alitaka apige hadi Mike Iron Tyson, 50 Cent.. Jayz alikuwa anapigwa pigwa matakoo... Burna kitu gani yuleee 🤣🤣🤣 kwa Diddy hata uwe mgumu kuliko chuma.. akikualika chumbani.. basi imeisha hiyo.. hata awe mwalimu wa makomandooo ataliwa tu
Walishafanya ya Siri.. atajijua mwenyewe, kama ataogopa kwenda ogopa fidia yake 😅😅Dah sasa kama mtu kama Tyson na 50 cent wanainamishwa 😂 vp yule kijana wa Tandale ambaye tangu kitambo hataki kuyasema yaliyofanyika walipoenda kwa diddy 😭
Ajitoe akili tuu akaombe fidia ili aboost ile ndoto yake ya kuwa tajiri wa duniaWalishafanya ya Siri.. atajijua mwenyewe, kama ataogopa kwenda ogopa fidia yake 😅😅
😂😂Ukiachilia mbali mafuta, vitu gani vingine ananunua "in bulk" na vilikutwa vingi nyumbani kwake?
Walikuwa watatu.. walipigia 4some 😅😅.. Tale, Mond, na Lukamba.. wakdais hata $40 mill Kila mmoja, Wadai wameathirika kisaikolojia na ki maumbileAjitoe akili tuu akaombe fidia ili aboost ile ndoto yake ya kuwa tajiri wa dunia
Zaid ya Tsh. 100B 🙌 wajilipue tuu, uzuri wa waongo ht story itreand kiasi gn bado watasahau baada ya muda mfupi, kwan tumeona connection ngapi na zimezungumzwa sana ila sasa wameshazipotezea 😂Walikuwa watatu.. walipigia 4some 😅😅.. Tale, Mond, na Lukamba.. wakdais hata $40 mill Kila mmoja, Wadai wameathirika kisaikolojia na ki maumbile
😅😅 Ningekuwa nimewahi fika marekani, ningejivumishia nipate hata $10 million, wenyewe acha waone aibu aibu wenzao watamfilisi hela zote mwamba, yani Sasa hivi Kila mtu hata ambae hajawai guswa tako atamfungulia kesi bwana Diddle 😅😅Zaid ya Tsh. 100B 🙌 wajilipue tuu, uzuri wa waongo ht story itreand kiasi gn bado watasahau baada ya muda mfupi, kwan tumeona connection ngapi na zimezungumzwa sana ila sasa wameshazipotezea 😂