Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule jamaa ana kiburi ya kijingaHalafu yule zezeta akasema hajui kama kampuni yake ina mgogoro huo....yaani Ni lezafea wa kiwango Cha lami
Nadhani Kibatal ana2eza kufungua kesi dhidi ya Tigo kwa kutoa taarifa za mteja .Hata jamii forum ilikataa kutoa taarifa za watumiaji wake na kuibwaga seikali mahakamaniKampuni yoyote, hasa kampuni kubwa kama tiGO inakuwa na organization structure yake ambayo iko well organized. Mwanasheria sio part ya management bali ni muajiriwa wa kawaida tu ambaye kwa kawaida huwa wako chini ya Idara ya Rasilimali Watu.
Lazima wana departments kadhaa ambazo kila moja ina majukumu yake. Mwanasheria wa kampuni anakuwa chini ya Idara ya Rasilimali Watu ambayo lazima iwe na mkuu wake wa idara.
Pia kampuni lazima iwe na msemaji ambaye ndiye anahusika na kuisemea kampuni kwenye mambo yote yanayoihusu. Na yeye anakuwa yuko chini ya hiyohiyo idara ya rasilimali watu.
Masuala yote yanayotoka nje, hasa yanayohusu taarifa za wateja hayawezi kufanyika bila kupitia hii idara ya rasilimali watu. Maombi ya taarifa za wateja yakishamfikia mkuu wa idara ndipo yeye sasa atawapa maelekezo wahusika waandae nyaraka zinazotakiwa kulingana na request husika.
Huyu mwanasheria wa tiGO imekuwaje kila kitu amefanya yeye, mpaka saini amehusika yeye peke yake.
Inawezekanaje mtu ambaye hayupo hata kwenye management ya kampuni anafanya mchakato wote yeye peke yake bila hata management kujua? Mpaka saini zote ni za kwake tuu, hamna za mkuu yeyote wa kitengo chochote. Hii ni ajabu sana.
Kamwe kwenye kampuni kubwa kama MIC haiwezekani mwanasheria uwe na access ya kila kitu, haiwezekani mwanasheria unakuwa na access na mifumo yoooote. Sasa mwanasheria akifanya kazi za watu wa IT na watu wa IT watakuwa na kazi gani?
View attachment 1996627
Hapana bwana, wapo radhi hela ya kuwalipa hao watu ipatikane hata kwa gharama ya kukosa madaktari wa kutosha nchini.Ujinga wake tu. Serikali haina pesa ya kuwapandikiza hao watu kila kona.
@JerlamarelMwanasheria wa kampuni huwa ndiyo anakuwa katibu wa kampuni ( Company Secretary/ Corporate Counsel) au katibu wa bodi (Board Affairs Officer). Mwanasheria wa kampuni ni mkurugenzi pia, sasa hilo la wewe kusema mwanasheria wa kampuni ni mtu mdogo basi napata sana shida. Aidha TiGO ni kampuni la kizamani sana au wewe unachanganya mambo.
Huwezi kufungwa kwa kuzini na mke wa mtu,kiongozi punguza pressureDaaah nimeogopa Jana nilikuwa nachart na mke wa mtu, kupitia tigo chip huenda huyu Frank akamwambie mume wake , Jaman Fred aka Alfred usimwambie mumewe ntafungwa mie , la sivyo ntahamia Voda au Airtel au hallotel
Hata alie sajili line ya Mbowe hajulikani.Sasa mbona mawakili wa Mbowe wanajaribu kukataa hiyo transaction kama hakuna kosa?
Hatari tupuKampuni yoyote, hasa kampuni kubwa kama tiGO inakuwa na organization structure yake ambayo iko well organized. Mwanasheria sio part ya management bali ni muajiriwa wa kawaida tu ambaye kwa kawaida huwa wako chini ya Idara ya Rasilimali Watu.
Lazima wana departments kadhaa ambazo kila moja ina majukumu yake. Mwanasheria wa kampuni anakuwa chini ya Idara ya Rasilimali Watu ambayo lazima iwe na mkuu wake wa idara.
Pia kampuni lazima iwe na msemaji ambaye ndiye anahusika na kuisemea kampuni kwenye mambo yote yanayoihusu. Na yeye anakuwa yuko chini ya hiyohiyo idara ya rasilimali watu.
Masuala yote yanayotoka nje, hasa yanayohusu taarifa za wateja hayawezi kufanyika bila kupitia hii idara ya rasilimali watu. Maombi ya taarifa za wateja yakishamfikia mkuu wa idara ndipo yeye sasa atawapa maelekezo wahusika waandae nyaraka zinazotakiwa kulingana na request husika.
Huyu mwanasheria wa tiGO imekuwaje kila kitu amefanya yeye, mpaka saini amehusika yeye peke yake.
Inawezekanaje mtu ambaye hayupo hata kwenye management ya kampuni anafanya mchakato wote yeye peke yake bila hata management kujua? Mpaka saini zote ni za kwake tuu, hamna za mkuu yeyote wa kitengo chochote. Hii ni ajabu sana.
Kamwe kwenye kampuni kubwa kama MIC haiwezekani mwanasheria uwe na access ya kila kitu, haiwezekani mwanasheria unakuwa na access na mifumo yoooote. Sasa mwanasheria akifanya kazi za watu wa IT na watu wa IT watakuwa na kazi gani?
View attachment 1996627
Duuu, moja ya komenti zako chache sana zenye mashaka, iweje mwanasheria awe pia ni mkurugenzi, kwanza mkurugenzi maana yake nini? Mimi najua mwanasheria anahusika na mambo ya kisheria, tena ni mshauri wa mambo ya kisheria, ushauri wake unaweza ukapuuzwa na kampuni ikafanya contract.Mwanasheria wa kampuni huwa ndiyo anakuwa katibu wa kampuni ( Company Secretary/ Corporate Counsel) au katibu wa bodi (Board Affairs Officer). Mwanasheria wa kampuni ni mkurugenzi pia, sasa hilo la wewe kusema mwanasheria wa kampuni ni mtu mdogo basi napata sana shida. Aidha TiGO ni kampuni la kizamani sana au wewe
Ruksa kunifikira chochote kile, lakini hoja yangu iko palepale. Mashirika makubwa au makampuni makubwa huwa yanakuwa na kurugenzi na idara (Directorates & Units) mbalimbali ndani yake. Hivyo huwa kunakuwa na mkurugenzi wa Fedha (Director of Finance), Mkurugenzi wa Rasilimali watu (Director of Human Resources), Kurugenzi ya Masoko (Director of Marketing) n.k. Inategemea shirika ni linahusika na kitu gani.Duuu, moja ya komenti zako chache sana zenye mashaka, iweje mwanasheria awe pia ni mkurugenzi, kwanza mkurugenzi maana yake nini? Mimi najua mwanasheria anahusika na mambo ya kisheria, tena ni mshauri wa mambo ya kisheria, ushauri wake unaweza ukapuuzwa na kampuni ikafanya contract.
Ruksa kunifikira chochote kile, lakini hoja yangu iko palepale. Mashirika makubwa au makampuni makubwa huwa yanakuwa na kurugenzi na idara (Directorates & Units) mbalimbali ndani yake. Hivyo huwa kunakuwa na mkurugenzi wa Fedha (Director of Finance), Mkurugenzi wa Rasilimali watu (Director of Human Resources), Kurugenzi ya Masoko (Director of Marketing) n.k. Inategemea shirika ni linahusika na kitu gani.
Hawa wakurugenzi wote hufanya kazi chini ya mkurugenzi-mtendaji-mkuu (Chief Executive Officer): Sasa taasisi kubwa na mashirika makubwa huweka kurugenzi ya sheria (Directorate of Legal Affairs/Corporate Counsel/ Office of Company Secretary). Mara nyingi mwanasheria wa kampuni huhesabiwa kama mkurugenzi wa sheria na katibu wa kampuni. Siku hizi hata kwenye mashirika makubwa ya kiserikali iko hivyo....
Ofisi yake huwa ni kurugenzi na ndiyo inashikilia muhuri wa kampuni, yeye ndiye mtunzi wa nyaraka zote za kampuni na yeye ndiyo mshauri mkuu wa mambo yote ya kisheria ya kampuni. Mwanasheria wa kampuni anaingia kwenye vikao vyote nyeti vya bodi ya wakurugenzi na yeye huwa ndiyo katibu. Nyaraka zote nyeti za kampuni au shirika ni lazima ziwe na saini yake.
Ninakwambia hivi kwasababu mimi nishashika nafasi za Corporate Counsel/Director of Corporate Affairs na Company Secretary, hivyo nafahamu fika kitu ninachokisema hapa. Japo una ruksa ya kuendelea kuamini unachokiamini mkuu.
Mkuu, hebu kila mtu abaki na anachokiamini.Mkuu huwa naheshimu sana komenti zako...
Hilo neno mkurugenzi, kwa kampuni binafsi muda mwingine huwa linamaanisha mmiliki, badala ya kusema mkurugenzi wa idara, mimi naomba nitumie mkuu wa idara.
Ukishasema idara maana yake ni kitengo kinachohusisha watu zaidi ya mmoja, kama ni idara ya sheria, maana yake kuna wafanyakazi na wanasheria zaidi ya mmoja, kama alivyokiri Kapala maana ndicho tunachojadili, alisema kuna wanasheria watatu.. Maana yake ni kwamba sio kila mmoja ni mkuu wa idara.
Kwa hiyo mkuu ukisema mwanasheria wa kampuni ni mkurugenzi(mkuu wa idara), hiyo inaweza kuwa ni generalisation ya maksudi yenye lengo la ku mislead watu kwa malengo maalumu.
Kwa hii ishu tunayojadili, ni mashaka makubwa, kwamba jamaa yetu ndiye mwanasheria, ndiye mtu wa IT, ndiye katibu muhtasi(PS), Ndiye mkuu wa ya sheria, ndiye mtu wa miamala, barua inaletwa anaipokea yeye, ni mkuu wa idara ila hakuna mtu wa kupokea barua, anapokea yeye, anaifanyia kazi yeye, inasaini yeye na kila kitu yeye, na hadi anakuja mahakamani anaejua ni yeye tu, hana boss wa kumtaarifu wala menejimenti ya kutoa go ahead. Mambo yote ni yeye!
Anyway, unaweza ukawa sahihi mkuu ila mimi ndio sijaelewa!
Huwa naheshimu sana komenti zako.