GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Ubongo wako wa sisimizi kuwezi kuelewa unachoweza ni kumsifia Samia tu ili mkono uende kinywani.
 
Swala sio kuchimba swala tunanufaika vipi kama wazawa, kwa maoni yako Nyerere aliyeyaacha alikuwa zuzu?
Alikosa mchimbaji tu, huwezi kwenda kukopa wakati una mali iko chini. Mbona almasi, dhahabu na vito alikuwa anachimba. Haya madini ya chuma na makaa yalilalamikiwa miaka mingi awamu zote mbona hayachimbwi. Kama kuna mzawa mbona hakujitokeza. Lakini ni kweli hatupati kitu hata kidogo? hata ajira hatupati?. Lissu alitakiwa kwenda kule na takwimu juu ya yanachimbwa kiasi gani kwa makubaliano gani na yanauzwa wapi kwa bei gani na sisi tunapata ngapi badala ya makaa makaa makaa makaa hotuba nzima, mara anahamia kwa kambona, mara watu wamedumaa. Ni nchi gani duniani inagawia watu wake chakula ili wasidumae? kama siasa ndiyo hivi basi sisi bado kabisa.
 
Ubongo wako wa sisimizi kuwezi kuelewa unachoweza ni kumsifia Samia tu ili mkono uende kinywani.
Huwezi kumtupia lawama Samia kwa tatizo la watoto kudumaa. Eti wamedumazwa na makaa yao kuibwa, makaa ambayo yalikuwepo pale kwa miaka zaidi ya 5m. Hata Kambona na Kawawa walikuepo lakini hawakuyachimba. Siasa za hivi ni za kipumbavu
 
Ila ni aibu makaa ya mawe yenye thamani ya biliini sitini yanaondolewa huku wananchi ni hoi bin taabani.
 
uligundua lini kama makaa yana thamani kubwa sana, awamu ya sita? Jamani punguzeni kula ugali wa mahindi, mtalalamika kila siku miaka yote. Ugali wa mahindi utakupatia nguvu nyingi na akili kidogo sana.
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Umebaki na mada za kimzoga aina hii?

Yupi bora; anayeng'ang'ania na kulazimisha kutawala watu kwa nguvu huku akivuruga nchi na kuiba mali za taifa au angalau hata huyo anayepiga kelele kufukuza majambazi kama mlivyo wenyewe?

Sasa umetoka kwenye kutishia watu na ma "Rear Admiral' uchwara na kuanzisha mada za kipuuzi kama hii?
Hivi mnalipwa kwa wingi wa mada mnazoweka humu nini, bila kujali ubora wa kilicho wasilishwa?
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Mmmh ww ni Rostam au? Kwa nn hautak azungumzie mali zinavyotoroshwa kwenda Kwa mabeberu huku wakiwa hawalipi kitu? Mbona umepanic sana au umeguswa?
 
Tanzania ingepata viongozi wawajibikaji au wazalendo ingekuwa inakimbizana na south africa kwa mandeleo kwani tuna kila kitu na zaidi kuliko south africa.

South Africa ilijengwa na Kaburu haikujengwa na mtu mweusi.
WaAfrica wa SA wanacheza mapiano tu pale.

Nitajie nchi moja wanayokaa waAfrica weusi imendelea, WaAfrica inabidi tujitafakari, hawa viongozi ni reflection ya sisi raia.

Africa na WaAfrica tujitafakari sana wapi tumekosea maana Kila mahala Africa shida zinafanana.

ndani ya viunga vya Khartoum Sudani.
 
uligundua lini kama makaa yana thamani kubwa sana, awamu ya sita? Jamani punguzeni kula ugali wa mahindi, mtalalamika kila siku miaka yote. Ugali wa mahindi utakupatia nguvu nyingi na akili kidogo sana.
Bado umejifunika kwenye ugali wa mahindi? Kweli wewe ni mzoga hasa unao haribu mazingira.

Hiyo awamu ya sita unazo hisa kiasi gani; hebu tueleze hapa.

Awamu ya sita tuijue kuwa siyo ya watu wala ugali wa mahindi...? Nini kinacho wahangaisha hapa na watu ambao mnawaona utu wao ni duni zaidi ya wenu?
 
Tunapowatajia watu tunaibiwa ni vyema tukaweka wazi hao wawekezaji wanalipa nini na wanapata ni nini.

Cost ya kuzalisha hayo makaa/tone ni kiasi gani, gharama za kuuza hayo makaa Kwa ton ni kiasi gani...ndio maana haya mambo Kuna wakati yanabackfire.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan.
 
Back
Top Bottom