Kwani kwa MZOGA kama wewe ni jambo la kushangaza kutaka yaliyofanyika enzi za Nyerere ndiyo yafanyike enzi za Samia Suluhu Hassan na Genge lake?
Hata ingekuwa hivyo kwa hali yako ya u-MZOGA haikuruhusu kutojuwa tofauti kubwa sana iliyopo kati ya uongozi wa Nyerere (intellectual) na maamuma Samia Suluhu Hassan.
Mwalimu Nyerere alisimamia maslahi ya taifa hili, Samia Suluhu Hassan ni wakala wa kila baya linalofanyika kuihujumu nchi yetu. Na zaidi ya yote, mizoga kama nyinyi mnaochochea waTanzania kufarakana ili mtimize malengo yenu yaliyozimwa awali yasileteb mfarakano ndani ya taifa letu.
Hamtafanikiwa