GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi wewe MZOGA, kiuhalisia hata wakati wa uhai wako ulijiona ume elimika?
Angalia takataka zote ulizojaza humu JF; halafu hata aibu huna kujifanya unajua chochote cha kuwaita watu 'slow learner'!
Haya maneno ndiyo umejifunza sasa kuyatumia?
Mbona umechelewa sana!
Kama zingekuwa ni takataka usingekuwa unahangaika nazo usiku kucha aisei. Sema tu wewe ni slow learner.
 
Wewe huna tofauti na mavi unataka kila mtu aijue harufu yake. Bro, subirini hapohapo mtizame nchi inavyopiga hatua bila kelele wala mbwembwe. Slow learner aliyekariri mambo (rote learning)
Sasa umekamilika kabisa kwenye sifa yako ya kuwa MZOGA. Baki hivyo hivyo hadi hapo tutakapo ufikia mzoga wako na kuuchoma moto au kuufukia ili tuondoe hii adha ya mvundo mkali inayo sumbua taifa letu wakati huu.
 
Kama zingekuwa ni takataka usingekuwa unahangaika nazo usiku kucha aisei. Sema tu wewe ni slow learner.
Penye mvundo wa mzoga siwezi kuacha kujuwa kuna mzoga unaosumbua waTanzania. Ni wajibu wangu kutafuta njia za kuondoa hali hiyo mbovu inayo wakabili waTanzania.
Kwa hiyo, jihakikishie jambo moja; sitakuacha. Popote nitakapokuta mvundo wa mzoga na takataka zake, ni wajibu wangu kuchangia njia za kuuondoa huo mzoga.

Kwa hiyo tambua tu kuwa tupo pamoja sana hadi hapo tutakapo safisha mizoga yote.
 
Sijasikiliza ulicho bandika hapo; lakini kwa uMzoga ulio nao wewe najuwa unatafuta kupaka marashi ili mvundo unaotoka kwa mzoga usiwe mkali zaidi.
Huwezi kuchanganya takataka zako kwa kumhusisha kiongozi kama huyo.
Yote yanayofanywa na Samia na Genge lake ni kinyume kabisa na kila kitu alicho simamia Mwalimu Nyerere; sasa sijui unaiweka hiyo habari hapa kwa maksudi gani.
 
Kama zingekuwa ni takataka usingekuwa unahangaika nazo usiku kucha aisei. Sema tu wewe ni slow learner.
Huu msemo "...slow learner." umeusikia hivi karibuni? Hata hivyo, mbona hata matumizi yake sahihi huyajui!

Au ni kwa sababu ya kuwa MZOGA ndiko kunakunyima uelewa wa matumizi sahihi ya lugha za watu walio hai!

Kumbuka, wewe ni "mzoga", na wala hata siyo "maiti", ambayo ingeweza kupewa heshima ya ubinaadam wake.
 
Wewe ni slow learner
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Wewe umekodiwa? Nani asiyejua kuna wizi unafanyika? Naona mnalipwa hela nyingi sana ili muandike ujinga wenu
 
MZOGA utajua nini kuhusu 'slow learner'. Mvundo wa kuoza ndiyo sifa pekee iliyo nayo mzoga.
Kumwelewesha slow learner hakutaki hasira. Polepole utanielewa by using your own pace. Lazima kukubali individual differences kwenye uelewa na speed ya kuelewa.
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Vile hamna akili. **** ****. ****
 
Wewe umekodiwa? Nani asiyejua kuna wizi unafanyika? Naona mnalipwa hela nyingi sana ili muandike ujinga wenu
Nani anilipe ili niseme ukweli? Tatizo la wa wakosoaji wetu ni hodari kwa kuorodhesha kero, lakini hawaji na solution mbadala ili tupime ipi ni bora kazi ya CCM na hii mbadala. Wakenya wamekuwa wakinaswa na mtego huu wa kipumbavu miaka yote. Ruto alisema anajua wapi Uhuru alikuwa anakosea, wampe yeye waone hali zao zitavyobadilika ghafla akiingia Ikulu. Sasa yuko Ikulu hali zao zimebadilika? Ni shakahola tu, hadi Leo wanafukua makaburi
 
Kumwelewesha slow learner hakutaki hasira. Polepole utanielewa by using your own pace. Lazima kukubali individual differences kwenye uelewa na speed ya kuelewa.
MZOGA hata siku moja hauna uwezo wa kueleza lolote la maana.

Rudi nyuma humu JF, tazama tulipo anza kujibishana. Pamoja na uvundo mkali unao kuhusu hutakosa kutambua ni ninsi gani ulivyo takataka inayosubiri kufukiwa.
 
Slow learner naona unapata darasa, fuatilia mada zangu hazitakuacha mtupu.
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Kujua mabeberu wanatuibiaje ni jambo Moja lakini kuzuia wasituibie ni jambo lingine. Ibrahim traore amejua na amezuia. Mzee JPM aliishia kuorodhesha namna tunavyoibiwa lakini alishindwa kuzuia tusiibiwe.. Kuzuia tusiibiwe ni kuchimba wenyewe na kutafuta masoko mapya ya madini Yako. La sivyo ni kuyaongeza thamani ya kuyatumia mwenyewe hapahapa na kuuza kwa matumiaji wengine nje ya nchi. Mfano, tumia madini kuyeyushia chuma Yako na kutumia bidhaa za chuma hapahapa na kuuza bidhaa hizo nje ya nchi kama bidhaa. Tengeneza bangili, mikufu, Pete, heleni za dhahabu hapa watu wako watumie kwa winhi na kuwauzia wengine nje mikufu na Pete hizo.
 
Kumwelewesha slow learner hakutaki hasira. Polepole utanielewa by using your own pace. Lazima kukubali individual differences kwenye uelewa na speed ya kuelewa.
What good can come out of an animal carcass, which is what you are! Your fate is to rot and eventually disappear by the effect of nature.
 
Slow learner naona unapata darasa, fuatilia mada zangu hazitakuacha mtupu.
Kazi yangu ni moja tu, kukuweka mahali stahiki unapotakiwa kuwa; ambapo ni kuwa MZOGA. Sina la ziada ya hapo tena na wewe.
 
Back
Top Bottom