GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

😂😂😂😂😂😂😂
Alafu Tz tunatarajia maendeleo kwa kuwa na wananchi kama wewe
 
Shida yetu kama taifa ilianzia pale Mwl Nyerere na wenzake waliposema Tanzania ni nchi ya kijamaa, na Kila mtu aliyempinga alikiona cha moto. Orodha ni ndefu ya walioadhilika kwa kupinga ujamaa na kujitegemea. CCM ni ileile Jana na leo, wanabadilisha viongozi tu. Bahati mbaya wanaCCM wote walikuwa waliimba hiyenahiyena hata pale tulipokuwa tunaibiwa, mfano Richmond, escrow, iptl, melemeta, kununua ndege bila kuwepo kwenye bajeti, nk, Akina Polepole walikaa kimya muda wote huo wakati taifa linapita kwenye vipindi vigumu chini ya CCM
Kwa hiyo sasa hivi unaona Samia kafanya mambo makubwa sana kutoka kwenye hizo CCM unazozisema wewe; maana mada zako zote tokea nianze kukusoma humu JF zinaeleza hivyo.

Sasa nikwambie wazi, mimi siyo mjinga wala mpumbavu. Hivi visingizio vya CCM na ujamaa, nenda kawaeleze watu wasio elewa kitu siyo mimi.
Hiyo historia ya waTanzania kukiona cha mtema kuni" tunajuwa somo hilo linakopatikana; ambayo yanaendana sambamba na michango yako yote humu.

Wewe huna uzalendo wowote na nchi hii; lengo lenu ni hilo moja tu linalopata msukumo toka huko chuoni kwenu Kariakoo. Huko hawafundishi lolote juu ya uzalendo wa nchi hii.
 
Ghafla Polepole anaibuka kutuambia kumbe ndani ya CCM Kuna makundi mawili ya CCM asili na CCM mtanda
Unapo jadili na mtu, angalau jaribu kutazama 'backgrund' yake kwa kifupi ipo je kutokana na michango yake humu humu JF; usirukie tu watu.
Unanihusisha na habari za Polepole kuzungumzia hao mtandao na wengineo; hukuwahi hata mara moja kwa kupitia tu kuona kuwa nimezungumza mara nyingi sana juu ya Samia na Genge lake kuitumia CCM kwa manufaa yao? Tena bila shaka nawe nilikwisha kujibu kwa kutumia maneno hayo hayo kabla hata Polepole hajajiuzuriu ubalozi?

Wewe hapa unasukummwa na ajenda tofauti kabisa k siyo kwa sababu ya manufaa ya Tanzania. Hii ni ajenda maalum mnayo ipigania.

Sasa usije hapa na visingizio vya Ujamaa, sijui CCM hivi au vile. Hakuna CCM sasa hivi, mmeamua tu kutumia jina lake kuleta mitafaruku ndani ya taifa letu.

Sasa ukitaka kunielewa, nielewe, usipotaka, pia ni sawa tu, lakini huna sababu tena ya kusema hujui msimamo wangu upoje kuhusu nyinyi na hatma ya taifa letu..
Nimemalizana na wewe, iliyobaki nitarudi tu kule kule kwaa MIZOGA kama ulivyo amua kupiga kona mwenyewe..
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Una mimba?
 
Unarudi kule kule tuliko anzia; wakati nikikusihi uone upotofu uliokuwa nao kabla ya kunilazimisha nikuweke kwenye kundi hilo la MIZOGA.
Sasa unataka kuniambia hujui chochote tuliwahi kujibishana kati yetu muda wote ule?
Kama unafikiri ninakuja humu kujifurahisha tu na watu wapuuzi, nakuomba tafadhali usinichukulie hivyo; I am deadly serious in discussing Tanzania's destiny. Sitanii na wala simna mzaha juu ya hili.

Rudi nyuma, tazama mada zako zote na michango mbalimbali uliyokuwa unaiweka humu kabla ya huo niliokujibu hapo kwa heshima; halafu uje hapA UNILALAMIKIE TENA KWA KUKUITA mzoga.

Sasa sijui hasa nia yenu ni ipi kwa kweli, maana mtindo huu wa hadaa siyo wewe pekee unaye utumia humu. Huyo Mwenzako Steven Joel Ntamu sana, na yeye tumezungushana hivi hivi. Mara anakuja kama mtu mwenye akili timamu kujadili jambo; akirudi siku mbili tatu kisha badilika tena kama hajui alichokwisha changia siku chache tu zilizo pita.
Sasa nikuulize, kuna shule maalum mnako fundishwa aina hii ya kujadili mambo?
Niko kinyume na yeyote anaemuona Polepole ni shujaa kusema haya anayoyasema Sasa, kwakuwa Polepole ama alifanya au alifumbia macho mabaya mengi. Kwanini Sasa?

Pili, siamini kama CCM haifai kuliko chama chochote cha upinzani so far. Hasa pale ninapoona watanzania wengi tuna uhakika wa kulala na kuamka salama, mtu anaweza kuwa na sh. 500 akala vipande 5 vya mihogo ya kukaanga na chachandu mchana ukapita. Tz ndio sehemu pekee ambayo Kila mtu anaweza kujenga kijumba chake mwenyewe na kujisitiri humo, hatuna homeless people kama Marekani na Ulaya. Tz ndiyo nchi ambayo sh.500 unasafiri kutoka kituo kimoja kwenda kingine, kule Marekani daladala ni dola 3 na sisi wanafunzi ni dola 1.5 unachanja kadi unakwenda unakokwenda. Dar es salaam Kila barabara Ina foleni ya magari, bodaboda na bajaj kuonyesha kuwa watu sio maskini kama watu wanavyotaka ionekane.

Watanzania hawafanyi kazi na hawalipi Kodi. Mtu anaacha mashamba yao vijijini anakuja mjini kupaka kucha rangi mitaani, ukikosa pesa hapo huwezi kumlaumu CCM au Rais wake, maana ni wewe hukulima malimao kwenye ardhi yenu ambayo huku mjini ni sh. 500 kwa limao kubwa.

Mimi namuona Polepole kama mtu mwenye agenda yake binafsi kuliko kutuonea huruma sisi wanyonge.
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Hii ndio mitu ya Ccm.

Ina maana hawa watu nnetwork, hawaezi hata kuchukua vijana wanaojitambua, wenye hoja na wenye akili? Au wanakatazwa?
 
Huu si UCHAGUZI ni mazingaombwe...kekundu na keusi. Mtayapata ma popoma peke yake ndiyo yatasismama mchana jua kali kuidhinisha dhambi.
 
Kwa hiyo sasa hivi unaona Samia kafanya mambo makubwa sana kutoka kwenye hizo CCM unazozisema wewe; maana mada zako zote tokea nianze kukusoma humu JF zinaeleza hivyo.

Sasa nikwambie wazi, mimi siyo mjinga wala mpumbavu. Hivi visingizio vya CCM na ujamaa, nenda kawaeleze watu wasio elewa kitu siyo mimi.
Hiyo historia ya waTanzania kukiona cha mtema kuni" tunajuwa somo hilo linakopatikana; ambayo yanaendana sambamba na michango yako yote humu.

Wewe huna uzalendo wowote na nchi hii; lengo lenu ni hilo moja tu linalopata msukumo toka huko chuoni kwenu Kariakoo. Huko hawafundishi lolote juu ya uzalendo wa nchi hii.
Ndiyo maana nasema mtu mwenye akili lazini lazima aseme au kulaumu kwa takwimu halafu afanye compare and contrast (benchmark) na watu/nchi zinazofanana katika ukanda. Tanzania bado tuko nyuma sana kwenye Kila kitu lakini kwa kujilinganisha na nchi gani kwenye ukanda wetu, sadc au Afrika?
 
Jamaa amezidiwa sana leo, Anataja majina ya Cuba, hivi tulimtuma akatembeetembee huko kama mwehu?

Kama gesi ya Taifa gas ni ghali kwanini na ile ya oryx, oilcom, lake gas iko juu pia? Kwanini yeye alipokuwa katibu mwenezi mtungi wa gesi haukuuzwa sh 1000 tu? Kwakuanzia apewe dawa ya haloperidol na valium zipunguze dalili.

View: https://www.youtube.com/live/Uz_tHuV_lbc?si=9mG0RP-qQmiVz7dd
 
Ndiyo maana nasema mtu mwenye akili lazini lazima aseme au kulaumu kwa takwimu halafu afanye compare and contrast (benchmark) na watu/nchi zinazofanana katika ukanda. Tanzania bado tuko nyuma sana kwenye Kila kitu lakini kwa kujilinganisha na nchi gani kwenye ukanda wetu, sadc au Afrika?
Hapa hata haieleweki unaeleza kitu gani; maana hata uwezo wa kujieleza naona unazidi kudidimia. Ninachoona hapa sasa ni kama unaongeza tu maneno ili mada yako ionekane imechangiwa sana.
"...mtu mwenye akili lazima aseme au kulaumu kwa 'takwimu' halafu afanye compare and contrast (benchmark)"?

"compare and contrast" imekuwa na maana ya "Benchmark" toka lini? Unajaribu kujipa ujuaji ambao ni wazi hunao. Hizi elimu za kuunga unga unakuja nazo hapa kuhadaa watu vile vile kama afanyavyo huyo Samia Suluhu Hassan. Ni kama mmefinyangwa kwenye kinu kimoja!
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Subirini matrector yenu. Mtagawiwa baada ya uchaguzi.
 
Niko kinyume na yeyote anaemuona Polepole ni shujaa kusema haya anayoyasema Sasa, kwakuwa Polepole ama alifanya au alifumbia macho mabaya mengi. Kwanini Sasa?

Pili, siamini kama CCM haifai kuliko chama chochote cha upinzani so far. Hasa pale ninapoona watanzania wengi tuna uhakika wa kulala na kuamka salama, mtu anaweza kuwa na sh. 500 akala vipande 5 vya mihogo ya kukaanga na chachandu mchana ukapita. Tz ndio sehemu pekee ambayo Kila mtu anaweza kujenga kijumba chake mwenyewe na kujisitiri humo, hatuna homeless people kama Marekani na Ulaya. Tz ndiyo nchi ambayo sh.500 unasafiri kutoka kituo kimoja kwenda kingine, kule Marekani daladala ni dola 3 na sisi wanafunzi ni dola 1.5 unachanja kadi unakwenda unakokwenda. Dar es salaam Kila barabara Ina foleni ya magari, bodaboda na bajaj kuonyesha kuwa watu sio maskini kama watu wanavyotaka ionekane.

Watanzania hawafanyi kazi na hawalipi Kodi. Mtu anaacha mashamba yao vijijini anakuja mjini kupaka kucha rangi mitaani, ukikosa pesa hapo huwezi kumlaumu CCM au Rais wake, maana ni wewe hukulima malimao kwenye ardhi yenu ambayo huku mjini ni sh. 500 kwa limao kubwa.

Mimi namuona Polepole kama mtu mwenye agenda yake binafsi kuliko kutuonea huruma sisi wanyonge.
Umekwisha jifunua; hata upake marashi kiasi gani uvundo upo palepale.
Ajenda yenu italiangamiza taifa hili; na kama ulivyogusia hapo juu, katika ukanda huu badala ya kuwa taifa lenye heshima na kutolewa mfano kwa mshikamano wa wananchi wake; nasi tutatumbukia kwenye janga lile lile la nchi kama Somalia au Sudan.

Huna mapenzi yoyote na CCM. Ni chama ambacho mmeaona mkitumie kufikia malengo yenu.
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Samia anadanganya.
Suala la mapambano dhidi ya Rushwa hajali,ungumzia popote.
Matibabu bure nchi nzima akianza n wazee na watoto ( uongo hawa wanatibiwa bure kwa mujibu wa sera ya afya lakini wametupwa)
Motogoro ya viwanda inarudi .. viwanda vipi hajasema ( vile viwanda vya jpm walikuwa wote viko wapi hajasema?)
Atashusha na kuondoa gharama za maiti nchi nzima baada ya siku 100 . Uongo kwani ziliwekwa na nani?
Kwa mujibu wa bwana polepole
Kundi la wanamtandao likiongozwa na JAKAYA MRISHO KIKWETE ndiyo waliomua John Pombe Joseph Magufuli
Polepole anathibitisha
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Lissu anapigana vita dhidi ya wezi wa rasilimali za taifa... Ukiwa upande wa wezi huwezi kumuelewa!
Kura za nini tena wakati hata hizo mnaiba?
 
Umekwisha jifunua; hata upake marashi kiasi gani uvundo upo palepale.
Ajenda yenu italiangamiza taifa hili; na kama ulivyogusia hapo juu, katika ukanda huu badala ya kuwa taifa lenye heshima na kutolewa mfano kwa mshikamano wa wananchi wake; nasi tutatumbukia kwenye janga lile lile la nchi kama Somalia au Sudan.

Huna mapenzi yoyote na CCM. Ni chama ambacho mmeaona mkitumie kufikia malengo yenu.
Upo sahihi kabisa! Kuna watu tena ni wengi tu wapo ccm ili wajikwapulie na kujilimbikizia rasilimali za taifa! Kwa namna yoyote!
 
Umekwisha jifunua; hata upake marashi kiasi gani uvundo upo palepale.
Ajenda yenu italiangamiza taifa hili; na kama ulivyogusia hapo juu, katika ukanda huu badala ya kuwa taifa lenye heshima na kutolewa mfano kwa mshikamano wa wananchi wake; nasi tutatumbukia kwenye janga lile lile la nchi kama Somalia au Sudan.

Huna mapenzi yoyote na CCM. Ni chama ambacho mmeaona mkitumie kufikia malengo yenu.
unachoweza kufanya ni kuongeza nguvu chadema ili ccm ianguke, vinginevyo utaendelea kulalama hadi kiama kikukute. Lissu haaminiki, alijua tu kama akisema hivi lazima atakamatwa, amesema na amekamatwa hivyo chadema haishiriki. Kumbuka kuwa Huyu ni mtu ambae alichangiwa na CCM fedha za matengenezo ya gari lake alipohakikishiwa na mama kurudi nyumbani. Yajinga ndio waliwao. Subirini uchaguzi upite muone Lissu atakuwa wapi.
 
IMG-20250831-WA0001.jpg
 
I've said all I wanted to say to you concerning your gang's folly on our country. You can pretend not to understand what you are reading; that's not my problem.
 
Back
Top Bottom