GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unazeeka na hizi ndoto za kichawi, unastahili kupewa pole.
Uzee na Mzoga upi unayo manufaa kwa taifa hili?
Umzoga wako ni hatari kwa binaadam yeyote Tanzania sasa hivi. Ndiyo maana wewe na mizoga wenzako tuwaangamize haraka iwezekanavyo kabla madhara hayajawa makubwa zaidi.
 
Hakuna serikali duniani inapenda kuua walipakodi wake. Italizimika tu kuua mpigakura wake kama mlipakodi huyo yuko tayari kuhatarisha uhai wa wengine na dola.
Hivi bado mnajiita serikali. Serikali ya mizoga?
Naona kadri unavyozidi kuoza na kutoa mvundo mkali ndivyo hali inavyo zidi kuwa mbaya.
Sasa hata akili ndogo kichwani zimeanza kuoza vilevile.

Hiyo dola ambayo ndiyo mnaitegemea; ni hiyo hiyo ittaungana na waTanzania kuisafisha nchi hii kuondokana na uvundo wa mizoga yenu inayosumbua kila mahali sasa hivi.
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Kuishi kwa shemeji raha sana,unaamka unakutana na kila kitu kiko mezani hata hujui kimetoka wapi, siku akitimuliwa dada yako utajua maana ya kupigania haki
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

Wewe hivi una akili, Matatizo yako unafikiria kwa kutumia makalio. Tatizo siyo kuchimba makaa ya mawe, tatizo ni ufisadi na tender ilivyotolewa na kodi inayolipwa ipo wapi na ni kiasi gani? Hakuna mwekezaji aliyekatazwa kuchimba makaa ya mawe, tunacholalamikia ni process iliyotumika na usiri uliogubika huo mradi. Wakati mwingine ni bora unyamaze hata kama unayo mdomo. Pia angalia ukweli ni upi? Siyo kwa sababu umelipwa pesa za kuongea utumbo na wewe unakubali tu. Tumia akili japo najua huna akili kwa jinsi navyoona andiko lako.....Unapuyanga tu. In English, you are rambling, you do not know what you are talking about.....Poor you!
 
Huna akili kabisa wewe alooo. Hebu tuambie ile hela ya makenikia ililipwa? fedha ziko wapi?
 
Sisi tuko kwenye kampeni, nyie endeleeni kuorodhesha kasoro zinazohitaji kurekebishwa. Kazi yenu ya kuiamsha CCM na serikali ni nzuri sana kwa afya ya Taifa na wananchi. Tajeni kero zenu zote ili zirekebishwe. Inasaidia pia afya ya akili kufanya mental ventilation.

CCM ruhusuni watu waongee ili akili zao zipumue.
 
M
Umeandika nini sasa
Rostam rostam rostam rostam Kila hotuba, huku ni kudanganya watu. Rostam alikuwepo kwenye chama tangu wakati Nyerere yuko hai. Alikuwa mweka hazina wa CCM tangu wakati wa Mkapa.

Nchi haiwezi kukosa matajiri . Duniani kote engine ya uchumi ni private sector. Hata China na Urusi wamerwkebisha hiyo, Sasa hivi wana matajiri kwenye nchi zao.

Kumbe Polepole ndiye aliyekuwa akimlisha matangopori JPM hadi akaziua benki zote na shule zote na wafanyabiashara binafsi. Hovyo kabisa.

Hebu fikiria ni ajira kiasia gani Azam, mo, rostam, GSM wametoa kwa watanzania ambao wanakatwa PAYE
 
Duh!
Hata Wasira bado mnampa mategemeo ya kuwaokoa msichomwe moto au kufukiwa?
Huo mzoga mwingine mmeuokota mkifikiri utawasaidia chochote?
Karibuni kwenye kampeni muone nyomi la wenye akili. Eti mwehu anasema alisanifu mfumo wa kuiba kura, mara anasema mfumo haukutumika 2020 bado hauna data, mnahanyahanya, kama kungekuwa na mfumo huo wa kupata ushindi kwa urahisi CCM wasingehangaika na kupiga kampeni
 
Sitakuwa na sijawahi kuwa MZOGA; utanihusisha vipi na upumbavu huo?
Hizi pesa mnazo pewa msisahau kujisitiri, hii mizoga yenu inawaumiza sana waTanzania wakati huu na mivundo kila mahali.

Uazungumzia 'replica' ya uchafuzi wa Serikali za mitaa 2024, 'script' ambayo ndiyo inayo waongoza sasa?

Wewe ni nani; unao uhusiano wowote na Mchengerwa?
 
Nyomi la kusomba watu na kutegemea wasanii na bongo movies Nyomi la kulazimisha watumishi wote wa Umma na wanafunzi waende kwenye kampeni ni ujinga wa Ali ya juu sana tunajidanganya wenyewe ndo maana reforms inaogopwa kama ukoma
 
Watumishi wa umma ni wadau wakuu wa serikali kuhudhuria sio hiari. Hakuna mtu analazimishwa kusombwa sema tu wanapewa lifti tu ya kwenda kwenye mkutano wa kampeni, haina tofauti nA Yanga kuwapa supu mashabiki wake.

Hata Paul na Sila waliimba hadi milango ya gerezani ikafunguka, paranda ni aina ya mziki pia. CCM kutumia mziki kuwakisanya watu Kuna ubaya Gani? Hata vyama vingine vitumie mziki kama inasaidia kwenda Ikulu
 
IMG-20250830-WA0000.jpg
IMG-20250830-WA0000.jpg
 
Sitakuwa na sijawahi kuwa MZOGA; utanihusisha vipi na upumbavu huo?
Hizi pesa mnazo pewa msisahau kujisitiri, hii mizoga yenu inawaumiza sana waTanzania wakati huu na mivundo kila mahali.

Uazungumzia 'replica' ya uchafuzi wa Serikali za mitaa 2024, 'script' ambayo ndiyo inayo waongoza sasa?

Wewe ni nani; unao uhusiano wowote na Mchengerwa?
Wapuuzi wanasema eti Kuna mifumo ya kusaidia ushindi wa CCM. kwahiyo CCM wakae ofisini tu wasihangaike na kupiga kampeni.?
 
Mzoga ulio anza kuvunda hata siku moja hauwezi kupata uhai tena.

Haya unayo eleza hapa usifikiri yana umuhimu wowote kwa waTanzania wanaojuwa hila zote zinazo tumika kubaki madarakani kwa nguvu, bila ya ridhaa ya waTanzania.

WaTanzania wanajuwa maovu yote yanayofanywa dhidi yao; na kuwapokonya HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanao wataka wao lipo wazi kabisa; hata mkiigiza vipi!
 
Back
Top Bottom