GE2025 Mwanasiasa anayetaka kwenda Ikulu kwa kudanganya watu hatoshi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi huyu mungu ambaye mnamwabudu na kumtajataja sana wakati mnafanya mambo ya kishetani kwa waTanzania, huyo ni mungu wa namna gani huyo?
Kuna mungu maalum wa mizoga aina yenu?
Endelea kuumia moyoni mkuu Kalamu, hakuna wa kukusaidia.
 
Tena ni heri ya Musiba,huyu mbiombio kajificha uvunguni kusikojulikana. Atakaa huko hadi lini? Ajikumbushe akina Kambona walijicha Uingereza kwa miaka mingapi.
Huyo sukuma gang, anaumia sana anapomuona Samia anajiandaa kumalizia miaka yake mitano iliyobakia.

Alikuwa mwenezi wa JPM na alimpiga vita Samia tangu hayati akiwa bado hai, roho mbaya huwa inamrudia mhusika mwenyewe na huwa sababu ya yeye kuishi kwa mateso.
 
Lis alikuwa anatumika bila ye kujijuwa kumbe mdomo wake ulitakiwa kuwa na mipaka, anaenda zomoka kwa watu wa bad wanaosukuma kete zao kimya kimya sasa wamemuhurumia wakamsweka ndani, hajui roho yake inawindwa adi sasa kwa ufupi jamaa anahurumiwa ty ila wanomuhurumia hawana huruma hata kidogo na hawajali kitu.
Gwjm kazungumza tu vitu friendly ila ana windwa je anawindwa na nani makanisa yake yamefungwa je yamefungwa na nani. (Mama hawezi react kwa vitu visivyo muhusu. Wala asingeweza kuhukumu waumini wote kwa kosa la mtu mmoja.
Maamuzi sahihi yangekuwa kama gwj analeta uchochezi na anayosema si kweli angepewa onyo la kutokuzungumza bila ushahidi kwakuwa analeta uchochezi. Ila maelekezo yanajulikana yanapotoka .

Kila mtu ameshakaa pozisheni yake kikamilifu na mirija yake ipo salama nafikir mama amekubali lawama zote ili ayo yote yafanikiwe that why tumembandika jina Chr kiziwi, anafanikiwa kupita ni muda wa kulea familia kikamilifu. Nimetumia tu ubongo wa kuazima
 
Unasahau kwamba hayo makaa ni urithi wa wajukuu zako.
Umeshaona mashimo yalioachwa pale Nzeka kwenye ule uliokua mgodi wa dhahabu?
Mbona hujifunzi kwa historia?
Hivi wewe emeshafika mwadaui?
 
Akili yako na nzi utofauti wake ni umri wa kuishi tu nzi anaishi siku chache wewe unaishi siku nyingi, basi
 
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe.

Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae.

Watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.

Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.

View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No

IMG_20240428_070927.jpg
 
Hivi huyu mungu ambaye mnamwabudu na kumtajataja sana wakati mnafanya mambo ya kishetani kwa waTanzania, huyo ni mungu wa namna gani huyo?
Kuna mungu maalum wa mizoga aina yenu?
Akili huna. Mungu wa simba na fisi ndiye huyohuyo Mungu wa swala, nyumbu na ngiri. Survival for the fittest. Narudia tena, Samia is the fittest player kwenye hili. Mtabwekambweka tu kama mbwakoko lakini Katiba inambeba Samia na watu wanaridhika nae so far. Nakukumbusha kwa mara nyingine, soma Katiba tena na tena, heshimu katiba kwa kutii mamlaka iliyotokana na Katiba ili siku zako ziiwe nyingi, maana walioapa kuilinda Katiba ni wengi sana aloo. Hata vitabu vya Mungu vinaagiza watu wote kutii mamlaka unconditionally.

Hakuna demokrasia kwa watu wajinga na maskini. Na demokrasia pana lazima ianzie kwanza nyumbani kwako, mashuleni na vyuoni. Kama huko hakuna demokrasia usitarajie Ikulu ndiyo ikupe demokrasia ambayo hujaizoea huko kwenye familia, shuleni, vyuoni na mitaani mnakoishi. Tunahitaji kiasi fulani cha demokrasia lakini sio ile inayoweza kuwaruhusu majinga, wapumbavu, walanguzi na vibaraka kwenda Ikulu. Kule Kenya, Malawi, na Zambia walijaribu kudai demokrasia pana inayoweza kuruhusu hata wahuni kwenda Ikulu lakini hakuna cha maana walichokipata. Mauaji ya shakahola na umaskini na migomo ndiyo kwanza imezidi. CCM iendelee kutuandaa kuelekea kwenye demokrasia pana za Magharibi lakini polepole kwa kujenga shule nyingi na kutoa elimu bora na kupunguza umaskini kwa watu kupenda kufanyakazi.

Huyu kalamu na wajinga wenzake wanadhani Afrika yote ni maskini kwasababu viongozi woooote wa Afrika ni wapumbavu, wezi, wajinga na wasiojua kuongoza. Mtu anaeamini hivyo ni mpumbavu asie na insight. Mtu anaewaza hivyo kama ukimpa nchi ndio ataharibu kabisa na kuiuza nchi. George Weah alikuwa na mawazo hayohayo alipokuwa anagombea urais kule Liberia; lakini aliishia kuwa Rais wa hovyo kuliko mwanamama Sarif
 
Endelea kuota ndoto. Samia anaingia ikulu October 2025 kumalizia ngwe ya pili.
Wanalifahau hilo lakini ni ile tu basi. matusi ndio dalili ya kwanza ya mtu aliyeshindwa. Watu wenye nguvu hawana kelele nyingi wala matusi; wao ni vitendo tu. Kujamba kwingi sio dalili ya mavi mengi. Wanajamba sana ili angalau tuambulie kaharufu ka ushuzi wao huku wakiendelea kuenjoy amani na utulivu, uhuru wa kusema, ememe kila kona, maji kila kona, SGR, mashule kwa watoto wao, barabara na madaraja bwelele na hospitali za kupasua mabusha yao kila vilaya na kila kata.
 
Akili huna. Mungu wa simba na fisi ndiye huyohuyo Mungu wa swala, nyumbu na ngiri. Survival for the fittest. Narudia tena, Samia is the fittest player kwenye hili. Mtabwekambweka tu kama mbwakoko lakini Katiba inambeba Samia na watu wanaridhika nae so far. Nakukumbusha kwa mara nyingine, soma Katiba tena na tena, heshimu katiba kwa kutii mamlaka iliyotokana na Katiba ili siku zako ziiwe nyingi, maana walioapa kuilinda Katiba ni wengi sana aloo. Hata vitabu vya Mungu vinaagiza watu wote kutii mamlaka unconditionally.

Hakuna demokrasia kwa watu wajinga na maskini. Na demokrasia pana lazima ianzie kwanza nyumbani kwako, mashuleni na vyuoni. Kama huko hakuna demokrasia usitarajie Ikulu ndiyo ikupe demokrasia ambayo hujaizoea huko kwenye familia, shuleni, vyuoni na mitaani mnakoishi. Tunahitaji kiasi fulani cha demokrasia lakini sio ile inayoweza kuwaruhusu majinga, wapumbavu, walanguzi na vibaraka kwenda Ikulu. Kule Kenya, Malawi, na Zambia walijaribu kudai demokrasia pana inayoweza kuruhusu hata wahuni kwenda Ikulu lakini hakuna cha maana walichokipata. Mauaji ya shakahola na umaskini na migomo ndiyo kwanza imezidi. CCM iendelee kutuandaa kuelekea kwenye demokrasia pana za Magharibi lakini polepole kwa kujenga shule nyingi na kutoa elimu bora na kupunguza umaskini kwa watu kupenda kufanyakazi.

Huyu kalamu na wajinga wenzake wanadhani Afrika yote ni maskini kwasababu viongozi woooote wa Afrika ni wapumbavu, wezi, wajinga na wasiojua kuongoza. Mtu anaeamini hivyo ni mpumbavu asie na insight. Mtu anaewaza hivyo kama ukimpa nchi ndio ataharibu kabisa na kuiuza nchi. George Weah alikuwa na mawazo hayohayo alipokuwa anagombea urais kule Liberia; lakini aliishia kuwa Rais wa hovyo kuliko mwanamama Sarif
Wewe ni Mzoga wa Kiarabu; maana kila mahali maandishi yako ni ya dharau kwa watu weusi.
Unalipwa na Roastam Aziz ndiye anayekuleta hapa kudharau waTanzania na waafrika kwa jumla?

Taarifa kwenu nyote ni kwamba siku zenu zinahesabika sasa.
 
Endelea kuumia moyoni mkuu Kalamu, hakuna wa kukusaidia.
Mzoga kama wewe unao msaada gani kwa mtu yeyote mwenye uhai?
Kitu pekee kinacho umiza ni uvundo wa hii mizoga yenu; lakini muda si mrefu tutaichoma moto na mingine tutafukia ili tuondokane na adha hiyo..
Ukweli huo ndio unao waumiza sana nyinyi mnaotegemea makombo ya hao wanaowaleta humu JF kueneza uvundo kila mahali.
 
Endelea kuota ndoto. Samia anaingia ikulu October 2025 kumalizia ngwe ya pili.
Mnapo jisahau na kudhani kuwa nyinyi siyo binaadam kwa kutegemea kuwa mitutu ya bunduki itawalinda kwa kuitumia kumwaga damu za binaadam wengine; mnajidanganya. Mitutu hiyo hiyo inaweza kuwageukia wakati wowote.
Kwa hiyo hii dharau mnayo waonyesha waTanzania kwa kudhani nyinyi mpo salama sana isiwapumbaze akili.
 
Hakuna anayetumia mitutu ya bunduki. Uwezo wa kutumia vizuri wasomi katika kutimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi anao Samia.

Kwa aina ya roho mbaya na wivu unaokusumbua, utakuwa umeumia sana ikifika 2030 wakati Samia anajiandaa kuachia madaraka.
 
Mzoga kama wewe unao msaada gani kwa mtu yeyote mwenye uhai?
Kitu pekee kinacho umiza ni uvundo wa hii mizoga yenu; lakini muda si mrefu tutaichoma moto na mingine tutafukia ili tuondokane na adha hiyo..
Ukweli huo ndio unao waumiza sana nyinyi mnaotegemea makombo ya hao wanaowaleta humu JF kueneza uvundo kila mahali.
Pole sana mkuu Kalamu.
 
Hakuna anayetumia mitutu ya bunduki. Uwezo wa kutumia vizuri wasomi katika kutimiza kilichoandikwa kwenye ilani ya uchaguzi anao Samia.

Kwa aina ya roho mbaya na wivu unaokusumbua, utakuwa umeumia sana ikifika 2030 wakati Samia anajiandaa kuachia madaraka.
Hao unao sema wasomi mnao wanunua ndio watakao wakabidhi mizoga nyinyi kwa waTanzania tuwamalize kimoja..
Samia hana kitu. Sasa inajulikana wazi anatumiwa tu; na atajutia sana.
 
Unazeeka na hizi ndoto za kichawi, unastahili kupewa pole.
 
Mnapo jisahau na kudhani kuwa nyinyi siyo binaadam kwa kutegemea kuwa mitutu ya bunduki itawalinda kwa kuitumia kumwaga damu za binaadam wengine; mnajidanganya. Mitutu hiyo hiyo inaweza kuwageukia wakati wowote.
Kwa hiyo hii dharau mnayo waonyesha waTanzania kwa kudhani nyinyi mpo salama sana isiwapumbaze akili.
Hakuna serikali duniani inapenda kuua walipakodi wake. Italizimika tu kuua mpigakura wake kama mlipakodi huyo yuko tayari kuhatarisha uhai wa wengine na dola.
 
Back
Top Bottom