rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
we jamaa kilaza sana sijui unafikiria nini kabla ya kupost utumbo wako
Hakuna mtu anahangaika na mzoga zaidi ya kuupita harakaharaka akiwa ameangalia pembeni huku akitema mate mfululizo na pengine kuziba na pua kuepuka harufu. Bahati nzuri wewe hukufanya hivyo, umesoma kwa utulivu, ukaelewa, ukaelimika na baadae ukajibu. Hii ni kuonyesha mimi sileti mizoga humu jf; sema tu mti wenye matunda ndio hupigwa mawe zaidi.Kusoma hakunipi shida, kwa sababu mimi ni 'speed reader'.
Nilikuwa napata taabu ya kujibu takataka hizo kabla sijakutambua kuwa wewe ni mmoja wa mizoga iliyomo humu kwa kazi maalum.
Maadam sasa nakujuwa vyema, sipati shida tena ya kutumia muda wangu kutafuta majibu juu ya takataka. Nitazijibu vilevile kama zilivyo takataka. Na fahamu, sitaacha kuzijibu.
Nikisema wewe ni MZOGA, amini moja kwa moja, huwa sibahatishi.Hakuna mtu anahangaika na mzoga zaidi ya kuupita harakaharaka akiwa ameangalia pembeni huku akitema mate mfululizo na pengine kuziba na pua kuepuka harufu. Bahati nzuri wewe hukufanya hivyo, umesoma kwa utulivu, ukaelewa, ukaelimika na baadae ukajibu. Hii ni kuonyesha mimi sileti mizoga humu jf; sema tu mti wenye matunda ndio hupigwa mawe zaidi.
bottom-line soma katiba, fuata katiba, tii mamlaka, acha kutembea na wake za watu na acha kudhulumu watu. Ukiyafanya hayo umma na mamlaka watakutuza; hakutakuwa na kutekwa wala kung'olewa kucha. Kinyume na hapo usilalamike kama mwanamwali anaetolewa bikra yake.Nikisema wewe ni MZOGA, amini moja kwa moja, huwa sibahatishi.
Haya unayoeleza hapa ndizo alama sahihi ya umzoga wako. Takataka zote unazojaza humu hazina tofauti yoyote na zile za mizoga wengine kama akina Tlaatlaah. Mmekusanywa mizoga mkawekwa mahala na kupewa kazi ya kujaza taka humu JF.
Baada ya kupoteza muda nawe kwa kiasi fulani nikatambua nashughulika na MZOGA, kama nilivyo shughulika na ile mingine yote awali.
Kwa hiyo sasa wewe ni mhitimu wa sifa hiyo ya kuwa MZOGA.
Pole Pole dogo mmoja mshamba anayejisahau wapi alipotoka. Atapotea mapema kwenye ulingo wa siasa sawa na Musiba alivyopotea.Hakuna mtu anahangaika na mzoga zaidi ya kuupita harakaharaka akiwa ameangalia pembeni huku akitema mate mfululizo na pengine kuziba na pua kuepuka harufu. Bahati nzuri wewe hukufanya hivyo, umesoma kwa utulivu, ukaelewa, ukaelimika na baadae ukajibu. Hii ni kuonyesha mimi sileti mizoga humu jf; sema tu mti wenye matunda ndio hupigwa mawe zaidi.
Polepole alishiriki kikamilifu kwenye matukio yafuatayo:
1. Kuwaengua wagombea wote wa upinzani kwa hoja za hovyo uchaguzi wa mwaka 2020
2. Alitengeneza mfumo wa kumpa ushindi JPM kwenye uchaguzi wa 2020 (kasema mwenyewe)
3. Alimshauri Rais Magufuli (RIP) asivae barakoa wala kuchanja chanjo ya covid-19; hili lilimuweka Rais kwenye hatari ya kupata maambukizi - akamatwe kwa hili huenda lilisababisha Rais kupata maambukizi.
4. Wakati Tundu Lissu anagongwa risasi yeye alikuwa mshauri wa Rais JPM, hakukemea tukio lile wala kwenda kumjulia hali TAL. watu wanamshangaa sana kusikia HP anamlilia Lissu atoke gerezani kinafiki kabisa.
5. Alikuwa mshauri mkuu na mshauri wa kubadilisha vifungu vya Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais. Anaposema kumwaga oil ni unafiki mtupu kwakuwa hakupenda hata awe Rais kabisaaaaaaaaa bila kujali kama Samia ataweza au atashindwa huo urais wenyewe.
6. Ana agenda ya kuirejesha Tanganyika hata ikibidi kwa kuuvunja muungano.
Mzoga kama wewe na katiba ni wapi na wapi?Mzbottom-line soma katiba, fuata katiba, tii mamlaka, acha kutembea na wake za watu na acha kudhulumu watu. Ukiyafanya hayo umma na mamlaka watakutuza; hakutakuwa na kutekwa wala kung'olewa kucha. Kinyume na hapo usilalamike kama mwanamwali anaetolewa bikra yake.
Mtu mwenye uhai na akili timamu kweli utaandika haya!Pole Pole dogo mmoja mshamba anayejisahau wapi alipotoka. Atapotea mapema kwenye ulingo wa siasa sawa na Musiba alivyopotea.
Pole Pole anahusika kwenye nyuzi nyingi zinazotembea muda huu humu jukwaani, anapigana vita ngumu sana.Hakuna mtu anahangaika na mzoga zaidi ya kuupita harakaharaka akiwa ameangalia pembeni huku akitema mate mfululizo na pengine kuziba na pua kuepuka harufu. Bahati nzuri wewe hukufanya hivyo, umesoma kwa utulivu, ukaelewa, ukaelimika na baadae ukajibu. Hii ni kuonyesha mimi sileti mizoga humu jf; sema tu mti wenye matunda ndio hupigwa mawe zaidi.
Polepole alishiriki kikamilifu kwenye matukio yafuatayo:
1. Kuwaengua wagombea wote wa upinzani kwa hoja za hovyo uchaguzi wa mwaka 2020
2. Alitengeneza mfumo wa kumpa ushindi JPM kwenye uchaguzi wa 2020 (kasema mwenyewe)
3. Alimshauri Rais Magufuli (RIP) asivae barakoa wala kuchanja chanjo ya covid-19; hili lilimuweka Rais kwenye hatari ya kupata maambukizi - akamatwe kwa hili huenda lilisababisha Rais kupata maambukizi.
4. Wakati Tundu Lissu anagongwa risasi yeye alikuwa mshauri wa Rais JPM, hakukemea tukio lile wala kwenda kumjulia hali TAL. watu wanamshangaa sana kusikia HP anamlilia Lissu atoke gerezani kinafiki kabisa.
5. Alikuwa mshauri mkuu na mshauri wa kubadilisha vifungu vya Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais. Anaposema kumwaga oil ni unafiki mtupu kwakuwa hakupenda hata awe Rais kabisaaaaaaaaa bila kujali kama Samia ataweza au atashindwa huo urais wenyewe.
6. Ana agenda ya kuirejesha Tanganyika hata ikibidi kwa kuuvunja muungano.
Samia yupo mpaka 2030 tuombe uhai kwa Mungu muumba mbingu na dunia. Mtanuna sana na msipoangalia kifo kitawakuta mkiwa mmenuna.Mtu mwenye uhai na akili timamu kweli utaandika haya!
Siwatetei hao nusu mizoga kama walivyokuwa enzi zao; lakini umzoga wenu umepitiliza kiasi.
Katika akili zako unafikiri Samia Suluhu Hassan atakuwepo kuwafuga mizoga kama nyinyi zaidi ya 2025?
Tena ni heri ya Musiba,huyu mbiombio kajificha uvunguni kusikojulikana. Atakaa huko hadi lini? Ajikumbushe akina Kambona walijicha Uingereza kwa miaka mingapi.Pole Pole dogo mmoja mshamba anayejisahau wapi alipotoka. Atapotea mapema kwenye ulingo wa siasa sawa na Musiba alivyopotea.
MZOGA ukisema hivyo nani atahangaika na maneno ya kitu kinachotoa mvundo mkali.Samia yupo mpaka 2030 tuombe uhai kwa Mungu muumba mbingu na dunia. Mtanuna sana na msipoangalia kifo kitawakuta mkiwa mmenuna.
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Hiyo ndiyo mipango ya mizoga; kuitawala nchi hii kwa miongo?Tena ni heri ya Musiba,huyu mbiombio kajificha uvunguni kusikojulikana. Atakaa huko hadi lini? Ajikumbushe akina Kambona walijicha Uingereza kwa miaka mingapi.
Hivi huyu mungu ambaye mnamwabudu na kumtajataja sana wakati mnafanya mambo ya kishetani kwa waTanzania, huyo ni mungu wa namna gani huyo?Samia yupo mpaka 2030 tuombe uhai kwa Mungu muumba mbingu na dunia. Mtanuna sana na msipoangalia kifo kitawakuta mkiwa mmenuna.
Hata bila kuwepo mabadiliko ya kuweka usawa kwenye uchaguzi Samia hawezi kushinda uchaguzi wowote ule bila ya mitutu ya bunduki.Pole Pole anahusika kwenye nyuzi nyingi zinazotembea muda huu humu jukwaani, anapigana vita ngumu sana.
Samia ameweza kujiweka karibu na mtu wa kawaida mpiga kura kwa kutimiza shida zake za kila siku.
Zahanati zimejaa nchi nzima. Utatuzi wa umeme wakati ule kina Makamba walipomzingua haraka sana akamteua Biteko ambaye kaweza kuisimamia wizara kiumahiri.
Uwekezaji kwa wingi kila siku viwanda vinajengwa, haya kwa mwanasiasa huwa sumaku yenye kuweza kumuweka karibu mwanasiasa katika mioyo ya wapiga kura.
Endelea kuota ndoto. Samia anaingia ikulu October 2025 kumalizia ngwe ya pili.Hata bila kuwepo mabadiliko ya kuweka usawa kwenye uchaguzi Samia hawezi kushinda uchaguzi wowote ule bila ya mitutu ya bunduki.
Kilicho baki sasa hivi ni kwa waTanzania kuchukua bunduki zao toka mikononi mwa majambazi ili ukombozi kamili wa nchi yao upatikane.
MIZOGA aina yenu haiwezi kumsaidia kitu chochote Samia. Hata humu JF sasa ni wazi hakuna lolote la maana mnalochangia kumtetea Samia.