Yaani huamini kama trekta 10m zinaweza kununuliwa kwaajili ya wananchi. Inaonekana humjui Samia. Tz Ina hela nyingi sana ambazo marais wanaume walikuwa wanazihonga tu.Wewe endelea kusubiri tractor Milioni 10 kwa sababu huo kwako ndio ukweli
Naamini kwa sababu huo ndio ukweliYaani huamini kama trekta 10m zinaweza kununuliwa kwaajili ya wananchi. Inaonekana humjui Samia. Tz Ina hela nyingi sana ambazo marais wanaume walikuwa wanazihonga tu.
Opinion? Takataka toka kwa mzoga.It is not necessary to reply each of my opinions.
Mzoga una hoja gani mbali ya kutoa harufu mbaya!Ubongo wako ni mdogo sana kumudu kujadili hoja zangu.
Hivi wewe MZOGA, kiuhalisia hata wakati wa uhai wako ulijiona ume elimika?ubaya wa jamii forums unaweza kubishana na slow learners aliyekaririshwa jambo.
Eti ukiita mzoga unajiona kuwa umesema kitu cha maana sana. Low IQ, hiyo ni lugha ya mtu wa chini sana kwenye jamii alieishiwa hoja, tumeshavuka kwenye matumizi ya lugha hizo miaka ya 80s. Unaamini kama mtu aliyehai na kutawala nchi anaweza kuwa mzoga, nonsense.Mzoga una hoja gani mbali ya kutoa harufu mbaya!
Hivi bado hujitambui wewe kuwa ni mzoga. Huwa sitanii kwenye maswala ya namna hii.Eti ukiita mzoga unajiona kuwa umesema kitu cha maana sana. Low IQ, hiyo ni lugha ya mtu wa chini sana kwenye jamii alieishiwa hoja, tumeshavuka kwenye matumizi ya lugha hizo miaka ya 80s. Unaamini kama mtu aliyehai na kutawala nchi anaweza kuwa mzoga, nonsense.
Bei ya kawaida ya tractor 20M ukizidisha mara 10M, unapata 200 Trillioni, deni la wanasiasa Trillioni 120, za kuambiwa changanya na zako. Si ajabu wananchi wanasonona, ingawa wamelazimishwa kuhudhuria mikutano yao nyuso hazina furaha. Huenda jiwe hakwenda kwa mapenzi ya mungu, kwanini wanafosi kuendelea kutawala?!Wewe endelea kusubiri tractor Milioni 10 kwa sababu huo kwako ndio ukweli
Wewe huna tofauti na mavi unataka kila mtu aijue harufu yake. Bro, subirini hapohapo mtizame nchi inavyopiga hatua bila kelele wala mbwembwe. Slow learner aliyekariri mambo (rote learning)Hivi bado hujitambui wewe kuwa ni mzoga. Huwa sitanii kwenye maswala ya namna hii.
Au kwa vile huwezi kujuwa uvundo mkali unaotokana na hali yako hiyo!!
Ni wajibu wangu kukumbusha kila ninapokutana na mzoga wako, ili watu watambue wewe ni nani.
Jamaniee tuache utani, Samia pamoja na mapungufu yake ya kibinamu na kiafrika lakini anachapakazi na nchi inakwenda. Wanaompinga ni wale Mwl Nyerere aliokuwa anawaita malaya malayaMleta mada umejitahidi kujitoa ufahamu na ndio maana umekuja na andiko hili
Opinion? Takataka toka kwa mzoga.
Sitaacha kujibu ila kwa namna stahiki; inayo endana na mzoga.
Eti kuna mtu anawadanganya watanzania kuwa yeye ndiye anaetaka kutukomboa kijamii, kiuchumi na kisiasa, anadharau amani iliyopo na maendeleo tuliyodunduliza kuyapata kwa taabu nyingi katikati ya hila na mabavu ya nchi za magharibi. Mzee Mkapa ana jina aliwapa hawa watu na mimi namuunga mkono.Ubongo wako wa sisimizi kuwezi kuelewa unachoweza ni kumsifia Samia tu ili mkono uende kinywani.
Opinion? Takataka toka kwa mzoga.
Sitaacha kujibu ila kwa namna stahiki; inayo endana na mzoga.
Tupe takwimu wewe mtaalamuAlikosa mchimbaji tu, huwezi kwenda kukopa wakati una mali iko chini. Mbona almasi, dhahabu na vito alikuwa anachimba. Haya madini ya chuma na makaa yalilalamikiwa miaka mingi awamu zote mbona hayachimbwi. Kama kuna mzawa mbona hakujitokeza. Lakini ni kweli hatupati kitu hata kidogo? hata ajira hatupati?. Lissu alitakiwa kwenda kule na takwimu juu ya yanachimbwa kiasi gani kwa makubaliano gani na yanauzwa wapi kwa bei gani na sisi tunapata ngapi badala ya makaa makaa makaa makaa hotuba nzima, mara anahamia kwa kambona, mara watu wamedumaa. Ni nchi gani duniani inagawia watu wake chakula ili wasidumae? kama siasa ndiyo hivi basi sisi bado kabisa.