Ubongo wako wa sisimizi kuwezi kuelewa unachoweza ni kumsifia Samia tu ili mkono uende kinywani.Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Alikosa mchimbaji tu, huwezi kwenda kukopa wakati una mali iko chini. Mbona almasi, dhahabu na vito alikuwa anachimba. Haya madini ya chuma na makaa yalilalamikiwa miaka mingi awamu zote mbona hayachimbwi. Kama kuna mzawa mbona hakujitokeza. Lakini ni kweli hatupati kitu hata kidogo? hata ajira hatupati?. Lissu alitakiwa kwenda kule na takwimu juu ya yanachimbwa kiasi gani kwa makubaliano gani na yanauzwa wapi kwa bei gani na sisi tunapata ngapi badala ya makaa makaa makaa makaa hotuba nzima, mara anahamia kwa kambona, mara watu wamedumaa. Ni nchi gani duniani inagawia watu wake chakula ili wasidumae? kama siasa ndiyo hivi basi sisi bado kabisa.Swala sio kuchimba swala tunanufaika vipi kama wazawa, kwa maoni yako Nyerere aliyeyaacha alikuwa zuzu?
Yale maendeleo unayoyaona kule south Afrika yaliletwa na makaburu, sio akina Zuma na MbekiTanzania ingepata viongozi wawajibikaji au wazalendo ingekuwa inakimbizana na south africa kwa mandeleo kwani tuna kila kitu na zaidi kuliko south africa.
Huwezi kumtupia lawama Samia kwa tatizo la watoto kudumaa. Eti wamedumazwa na makaa yao kuibwa, makaa ambayo yalikuwepo pale kwa miaka zaidi ya 5m. Hata Kambona na Kawawa walikuepo lakini hawakuyachimba. Siasa za hivi ni za kipumbavuUbongo wako wa sisimizi kuwezi kuelewa unachoweza ni kumsifia Samia tu ili mkono uende kinywani.
uligundua lini kama makaa yana thamani kubwa sana, awamu ya sita? Jamani punguzeni kula ugali wa mahindi, mtalalamika kila siku miaka yote. Ugali wa mahindi utakupatia nguvu nyingi na akili kidogo sana.Ila ni aibu makaa ya mawe yenye thamani ya biliini sitini yanaondolewa huku wananchi ni hoi bin taabani.
Mkuu kama wapo mbele yetu basi hatuna kila kitu kuwaliko, wanacho cha zaidi yetu!!Tanzania ingepata viongozi wawajibikaji au wazalendo ingekuwa inakimbizana na south africa kwa mandeleo kwani tuna kila kitu na zaidi kuliko south africa.
Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
🤣 🤣 🤣 🔊 Kumbe!!!Mtoa mada apuuzwe ni ng'ombe wa mama
Umebaki na mada za kimzoga aina hii?Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Mmmh ww ni Rostam au? Kwa nn hautak azungumzie mali zinavyotoroshwa kwenda Kwa mabeberu huku wakiwa hawalipi kitu? Mbona umepanic sana au umeguswa?Hotuba nzima ni makaa, makaa, makaa, makaa kama vile watanzania walikatazwa kuchimba makaa ya mawe. Makaa ya mawe yalikuwepo nchini kwa miaka 5,000,000 iliyopita. Eti watu wasiende kupiga kura kwasababu ya makaa ya mawe. Eti serikali iende ikalime mbambabei ili watoto wasidumae. watanzani wanapenda kuchimba dhahabu sio makaa ya mawe. Lissu alitakiwa kulalamika kuwa niliomba kuchimba makaa ya mawe lakini nilinyimwa akapewa mgeni.
Eti anasema ya kambona, jamani kufilisika gani huku.
View: https://youtu.be/TdCkjaIH2rU?si=blde7zqRnMC9R3No
Tanzania ingepata viongozi wawajibikaji au wazalendo ingekuwa inakimbizana na south africa kwa mandeleo kwani tuna kila kitu na zaidi kuliko south africa.
Bado umejifunika kwenye ugali wa mahindi? Kweli wewe ni mzoga hasa unao haribu mazingira.uligundua lini kama makaa yana thamani kubwa sana, awamu ya sita? Jamani punguzeni kula ugali wa mahindi, mtalalamika kila siku miaka yote. Ugali wa mahindi utakupatia nguvu nyingi na akili kidogo sana.