Mwanasiasa gani katika medani za siasa usiyemuamini Tanzania/Tanganyika na kwanini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level!

Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na CCM

1. CCM wote kwangu hawaaminiki, wote, woooote! Huko hakuna mtu! Wangelikuwa wanaaminika kusingelikuwa na Bunge leo maana hapakuwa na uchaguzi. Wwmekuwa driven na uroho wa madaraka na fedha.
2. tuendelee...
 
Wa ccm au wa Chadema?
 
Amini Mungu pekee gentleman, achana na huo ushirikina plz, wa kuabudu na kuamini masanamu katika dunia hii 🐒
 
Kuna kichekesho kinasema kuna bus lilikuwa limebeba wanasiasa likapata ajali, wakafa wengi , kulikuwa na Wakulima walienda kwenye sehemu ya tukio wakawazika mpaka majeruhi!! Walipoulizwa kwa nini wamewazika majeruhi? Wakasema wale ni wanasiasa hata hao waliosema ni majeruhi hatukuwaamini kwa sababu Wanasiasa ni waongo!😆

Siamini wana siasa!!
Naanzaje kumuamini Mch. Msigwa kwa mfano?
 
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level!

Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na CCM

1. CCM wote kwangu hawaaminiki, wote, woooote! Huko hakuna mtu! Wangelikuwa wanaaminika kusingelikuwa na Bunge leo maana hapakuwa na uchaguzi. Wwmekuwa driven na uroho wa madaraka na fedha.
2. tuendelee...
SisiM ningekuwa na uwezo ningewatupa gereza la kilimo Uyole wakalime mpunga kwa maisha yao yote yaliyobakia.
 
Kuna kichekesho kinasema kuna bus lilikuwa limebeba wanasiasa likapata ajali, wakafa wengi , kulikuwa na Wakulima walienda kwenye sehemu ya tukio wakawazika mpaka majeruhi!! Walipoulizwa kwa nini wamewazika majeruhi? Wakasema wale ni wanasiasa hata hao waliosema ni majeruhi hatukuwaamini kwa sababu Wanasiasa ni waongo!😆

Siamini wana siasa!!
Naanzaje kumuamini Mch. Msigwa kwa mfano?
Umegonga penyewe! Nashangaa anarudi xhadema wanampokea!
 
Kuna kichekesho kinasema kuna bus lilikuwa limebeba wanasiasa likapata ajali, wakafa wengi , kulikuwa na Wakulima walienda kwenye sehemu ya tukio wakawazika mpaka majeruhi!! Walipoulizwa kwa nini wamewazika majeruhi? Wakasema wale ni wanasiasa hata hao waliosema ni majeruhi hatukuwaamini kwa sababu Wanasiasa ni waongo!😆

Siamini wana siasa!!
Naanzaje kumuamini Mch. Msigwa kwa mfano?
😂😂😂😄😃😅
 
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level!

Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na CCM

1. CCM wote kwangu hawaaminiki, wote, woooote! Huko hakuna mtu! Wangelikuwa wanaaminika kusingelikuwa na Bunge leo maana hapakuwa na uchaguzi. Wwmekuwa driven na uroho wa madaraka na fedha.
2. tuendelee...
Lukasi mwashambwa na tlahtlah siwaamini TAL akitoka gerezani na katiba mpya mchakato ukaanza,Hawachelewi kuwa upande wa TAL!
 
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level!

Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na CCM

1. CCM wote kwangu hawaaminiki, wote, woooote! Huko hakuna mtu! Wangelikuwa wanaaminika kusingelikuwa na Bunge leo maana hapakuwa na uchaguzi. Wwmekuwa driven na uroho wa madaraka na fedha.
2. tuendelee...
Usinichonganishe na Rais wangu
 
Dotto Biteko huyu jamaa siijui Yuko wapi? Nje ya mada .Walichomfanya mboga mboga 😀😀
 
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level!

Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na CCM

1. CCM wote kwangu hawaaminiki, wote, woooote! Huko hakuna mtu! Wangelikuwa wanaaminika kusingelikuwa na Bunge leo maana hapakuwa na uchaguzi. Wwmekuwa driven na uroho wa madaraka na fedha.
2. tuendelee...
SAMUYA Na ZZK
 
Back
Top Bottom