Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level!
Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na CCM
1. CCM wote kwangu hawaaminiki, wote, woooote! Huko hakuna mtu! Wangelikuwa wanaaminika kusingelikuwa na Bunge leo maana hapakuwa na uchaguzi. Wwmekuwa driven na uroho wa madaraka na fedha.
2. tuendelee...