Mwanasiasa gani katika medani za siasa usiyemuamini Tanzania/Tanganyika na kwanini?

Zitto 🤐🤐🤐
 
Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of.
Mimi niulize swali tu.
Hivi Tanzania sasa hivi kuna siasa. Maana ya siasa ni nini?

Unaweza kusema kwa moyo safi kabisa kwamba Samia Suluhu Hassan ni mwanasiasa; anafanya mambo ya siasa?
 
1. Zitto.

Huyu hana aibu, anaweza kubadilika baada ya dakika mbili kutoka msimamo wake wa awali, ndio maana mwenyewe alishatuasa tusiwaamini wanasiasa.

2. Peter Msigwa.

Kwa ule utoto alioongea baada ya kuondoka Chadema, ningetegemea abaki kule kule CCM no matter what, ajabu ameondoka CCM na kuirudia Chadema ile aliyoitukana juzi tu.

Kisingizio chake Mbowe ameondoka, sasa kwanini Mbowe alivyokuwepo asingeanza kuondoka yeye?

Amekosa cheo CCM anarudi kubahatisha Chadema, haaminiki, na kwasababu hiyo hata yeye hajiamini kama mwanzo.

Angeenda tu kuhubiri injili na uchungaji wake.
 
Politics is the game of who gets what, when, and how.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…