Mwanasiasa huyu alizaliwa na kipaji cha uigiza kwenye siasa aliingia kutafuta maisha tu

Leo ni Jumapili, siyo siku ya kazi. Umepitia mtambo gani wa gongo mwenzetu hadi kupwayaya kiasi hiki!!
 
Kwani milioni 50 kila kijiji hamjapata?? Mbona hamna shukrani ninyi?? Acheni uchochezi "harafu muniwombee"[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahaaaah hahhahahahah
 
Kwani milioni 50 kila kijiji hamjapata?? Mbona hamna shukrani ninyi?? Acheni uchochezi "harafu muniwombee"[emoji16][emoji16][emoji16]

Nikukumbuka ule utapeli wa 50m@kijiji huwa nacheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…