Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaah hahhahahahah......'Waturuki watakuja kujenga kujenga kiwanda chenye thamani ya Madafu trilioni themanini cha kubadili mavi ya kuku Kuwa gesi ya kupikia majumbani....na wameniahidi wataajiriwa wanainchi elfu nne....' Mavi ya kuku oyeeeee.... Mizuzu inaitikia Kwa nguvu HOYEEEEE[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hii ndio Tizedi
Kwani milioni 50 kila kijiji hamjapata?? Mbona hamna shukrani ninyi?? Acheni uchochezi "harafu muniwombee"[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapa ch ajabu ni kipi.Mbolea ya kuku ni best kwenye Biogas.wafugaji wamekuwa ni wengi sana na inawezekana mbolea hii inapotea bure.Hahaaaah hahhahahahah