Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.
Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe vichwa na hawa wanasiasa pale yatapotimia.
Hii nchi ni yetu sote na tunapaswa kuungana kila mtu kwa nafasi yake kuwapiga vita wanasiasa hawa walioweka mbele masilahi yao binafsi na si kuwalinda
Tarehe 25/03/2021, yule Bwana maarufu kule Twitter aliandika kuwa mwanasiasa huyu atarudi katika chama chake na kupewa ubalozi. Whistleblower huyu kupitia tweet yake alitaja mpaka watu/ mtu aliehusika na idara iliyotumilka kufanikisha jambo hili.
Kwakuwa hili la kwanza limeshatimia leo hii,basi tusubiri na hilo lingine litimie la yeye kupewa ubalozi.