Tetesi: Mwanasiasa huyu kupewa ubalozi baada ya kurudi katika chama chake

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.

Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe vichwa na hawa wanasiasa pale yatapotimia.

Hii nchi ni yetu sote na tunapaswa kuungana kila mtu kwa nafasi yake kuwapiga vita wanasiasa hawa walioweka mbele masilahi yao binafsi na si kuwalinda

Tarehe 25/03/2021, yule Bwana maarufu kule Twitter aliandika kuwa mwanasiasa huyu atarudi katika chama chake na kupewa ubalozi. Whistleblower huyu kupitia tweet yake alitaja mpaka watu/ mtu aliehusika na idara iliyotumilka kufanikisha jambo hili.

Kwakuwa hili la kwanza limeshatimia leo hii,basi tusubiri na hilo lingine litimie la yeye kupewa ubalozi.
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku nataka kukanda saiv tupo kikao cha kamati ya
Roho mbaya
Uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku
 
Mwana siasa akikuambia usiku umeingia, toka nje ukathibitishe.! Hawa jamaa si wa kuamini kabisa.
Pambana na maisha yako kivyako.
 
Mods hii mada itaeleweka/inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.

Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe vichwa na hawa wanasiasa pale yatapotimia.

Hii nchi ni yetu sote na tunapaswa kuungana kila mtu kwa nafasi yake kuwapiga vita wanasiasa hawa walioweka mbele masilahi yao binafsi na si kuwalinda

Tarehe 25/03/2021, yule Bwana maarufu kule Twitter aliandika kuwa mwanasiasa huyu atarudi katika chama chake na kupewa ubalozi. Whistleblower huyu kupitia tweet yake alitaja mpaka watu/ mtu aliehusika na idara iliyotumilka kufanikisha jambo hili.

Kwakuwa hili la kwanza limeshatimia leo hii,basi tusubiri na hilo lingine litimie la yeye kupewa ubalozi.
mmeshamuharibia hapewi tena
 
Na kwa past history huyu anaenda kuwa kama sio balozi basi first secretary ubalozi wetu kule washington DC.

Nyalandu ameishi marekani muda kiasi na ana uzoefu na wamarekani hivyo si vibaya kumrudisha kule akalete investors. Japo huyu kwa ujanja ujanja na kujiamini anakaribiana na Mponjole. Lazima yeye anufaike kwanza ndio taifa baadae.

Sent from my SM-T825 using JamiiForums mobile app
 
Inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.

Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe vichwa na hawa wanasiasa pale yatapotimia.

Hii nchi ni yetu sote na tunapaswa kuungana kila mtu kwa nafasi yake kuwapiga vita wanasiasa hawa walioweka mbele masilahi yao binafsi na si kuwalinda

Tarehe 25/03/2021, yule Bwana maarufu kule Twitter aliandika kuwa mwanasiasa huyu atarudi katika chama chake na kupewa ubalozi. Whistleblower huyu kupitia tweet yake alitaja mpaka watu/ mtu aliehusika na idara iliyotumilka kufanikisha jambo hili.

Kwakuwa hili la kwanza limeshatimia leo hii,basi tusubiri na hilo lingine litimie la yeye kupewa ubalozi.
Aliogopa kufukuzwa
 
Na kwa past history huyu anaenda kuwa kama sio balozi basi first secretary ubalozi wetu kule washington DC.

Nyalandu ameishi marekani muda kiasi na ana uzoefu na wamarekani hivyo si vibaya kumrudisha kule akalete investors. Japo huyu kwa ujanja ujanja na kujiamini anakaribiana na Mponjole. Lazima yeye anufaike kwanza ndio taifa baadae.

Sent from my SM-T825 using JamiiForums mobile app
Nyalandu si ndie yule aliyempelekea JPM genge la makarani kutoka Marekani eti wakamsalimie JPM Ikulu? JPM akawafukuzia mbali akawaambia yeye kama mkuu wa nchi si saizi yao, kama anataka awapeleke kule Dodoma bungeni kwa watu wa saizi yao?

Nyalandu bana! Naona anataka awalete tena wale makarani awatambulishe kwa mama.
 
Back
Top Bottom