Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.
Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.
Paul Makonda, huyu atabeba kura zote za Gen-Z, wasomi wa mjini kuanzia watoto mpaka Wazee, Vijijin kote atabeba Kwa Faida ileile ya Amani inaletwa na CCM, Kura atakazokosa ni Kura za wanaoamin CCM Imekaa madarakani muda mrefu.
PAUL MAKONDA, NI MAGUFULI WA LEO.
MTU ni WATU.