Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Ni ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.
Wacha uongo wako, aliyekuwa msemaji wa familia alikuwa Azim Dewji ambaye ni baba yake mdogo wa Mohammed Dewji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.
Kassim na mohamed dewji n ndugu mkuu au majina tu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Timu ishakuwa ya familia
Pamoja na kuwa jibu hili ni sahihi, lakini inazidi kuthibitika kuwa, wengi hapa, huwa hatusomi michango ya wenzetu. Jibu hili, limeshaandikwa, lakini bado wachangiaji wanalirudia rudia kuliandika. Lipo posti namba 19,26,29, na 37. Baada ya kuandikwa na huyo wa kwanza, waliofuata, kama wangekuwa wamemsoma huyo wa post namba 19, nao wasingerudia rudia kuliandika jibu hilo!Wacha uongo wako, aliyekuwa msemaji wa familia alikuwa Azim Dewji ambaye ni baba yake mdogo wa Mohammed Dewji!
Huyu jamaa na maslahi yao wasiyumbishe timu inapoelekea kumaliza msimu na kujiandaa na msimu ujao wa mashindano...huko kwenye Vita ya maslahi tulishavuka.KUNA MTU MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ SIMBA?
KWA KUWA UMETUCHOKOZA WACHA TUSEME.
Kasim Dewj unapotembe kwenye media usisahau kusema na ubadhirifu wako kuiibia klabu ya Simba. Achana na dola feki ambayo ni kashfa isiyokuwa na ushahidi.
Ueleze uma kwamba ni wewe uliyeingina mikataba feki ya kuendeleza na kupangisha majengo ya Simba ya pale Msimbazi na fedha zote ukaingiza mfukoni mwako wakati ukiwa katibu mkuu wa Simba.
Ulitulaghai kwamba mkataba ni wa miaka 30 huku Simba ikiambulia shilingi milion 48 kwa mwaka. Ni kipindi hiki cha mwenyekiti muheshimiwa Mangungu ndio ilibidi wachimbe hiyo mikataba na kugundua ulidanganya na mkataba ulikuwa ni wa miaka kumi ila wewe ulisema 30 ili muda ulipoisha uchukue kodi uweke mfukoni na uilipe Simba fedha kiduchu.
Umefanya hivyo kwa miaka mitatu baada ya mkataba kumalizika mpaka pale Mangungu na watu wake walipokuja kubumburua dili.
Leo Simba inaingiza zaidi ya milion 500 kwa mwaka kwa kodi ya majengo yake.
Maana yake ni kwamba ulipanga kwa miaka 30 uwe unakusanya kodo ya zaidi ya milion 500 halafu ulipe Simba milion 48 na nyingine zote uweke mfukoni mwako. Wizi gani huu? Baada ya dili kubumburuka kwa wenye mkataba kuweka hadharani mkataba kukwepa kufukuzwa kwenye jengo na kupelekwa mahakamani leo ndio wanalipa zaidi ya milion 500 kwa mwaka. Na wanasema wazi ulificha mkataba kwa nia ya kuiba fedha za klabu.
Hili ni eneo mojawapo linalokufanya ujenge chuki na viongozi wa Simba.
Nani mchafu kuliko wewe Simba?
Ni wewe Kasim Dewj miaka nenda rudi umekuwa ukihujumu mapato ya jezi na kujipatia fedha nyingi kwa kuhujumu mapato ya klabu. Ni nani mwingine mtengeneza jezi feki za Simba kuliko wewe? Ukiijua biashara ya jezi vizuri kuliko mtu mwingine yeyote bado kwenye tenda ya jezi za Simba uliweka mezani milion 300 huku Fred Vunjabei akiweka mezani bilion 1.1 kwa mwaka.
Nani mjinga angekupa tenda? Unamjengea Babra chuki mpaka kwenye jambo lililo wazi na peupe kama hili? Ulitaka uendelee kuhujumu mapato ya klabu mpaka lini? Fedha zako zote umepata kupitia wizi wa kuihujumu Simba. Kwa nini isifike mahali angalau uwe na huruma kwa hii klabu?
Wizi gani huo?
NANI NI MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ KWENYE SIMBA?
UNAPOTEMBEA KWENYE MEDIA TUNAOMBA UWE UNASEMA NA HUU UCHAFU WAKO.
( Jicho la tatu la KAGAME).
WANASIMBA WENZANGU TUUNGANE NA MH KIGWANGALA KUHOJI MAMBO
Ni ndugu yake Mo?
Umewahi kushiriki vita ya maslahi kaka?Huyu jamaa na maslahi yao wasiyumbishe timu inapoelekea kumaliza msimu na kujiandaa na msimu ujao wa mashindano...huko kwenye Vita ya maslahi tulishavuka.
Scars OKW BOBAN SUNZU Ghazwat Championship njaakalihatari
Dah!..nazidi kuomba Mungu aniepushe na hilo...maana unaweza kupoteza uhai.Umewahi kushiriki vita ya maslahi kaka?
Yote hayo kayasababisha dogo wa kizenji duhHuyu Kassimu uwa kirusi hatari sana kwa tunaomfahamu, nilishangaa sana kurudishwa pale Msimbazi.
Enzi za Migogoro zilikwisha kitambo, kwa nini anaturudisha huko.
Huyu Ndiyo alikuwa na lile group wanajiita makomandoo wa timu wanakaa milangoni ni upigaji tu ulikuwa unaendelea pale.
Kassimu huko tulishatoka klabu iko level zingine,acheni kutoboa meli ambayo mmepanda pia.
Swali gumunimesikia mahala wanasema hivi
kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita...... matangazo kwenye jezi za simba yameongezeka.
lakini kwa kipindi hicho chote, bilboards/ matangazo ya tajiri mo huko barabarani na kwengine hakuna kabisa ama kidogo sana
je tajiri analipa yale matangazo lukuki yaliyojaa kwenye jezi zetu jamani? kama analipa ni shiling ngapi na kwa mkataba gani?
Hapana usimchanganye Na Azim DewjiNi ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.
halina ugumu wowote wakati wansaini yalishajibiwaga yote, ilikuw a milions 250 kwa tangazo moja mo foundation ni free ni taasisi ya kusaidia watu..kuhusu billions 20 FCC washapitisha mchakato officially kuna mambo kufafanua kwa wajinga ni kupoteza muda unadhani kina kigwangwala hawajui ukweli?Swali gumu
Mtu na mjomba wake. Wote wahindi. Na sifa za wahindi unazijua.Kassim na mohamed dewji n ndugu mkuu au majina tu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
KUNA MTU MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ SIMBA?