Mwanasoka wa Kimataifa kunyongwa Iran, katika harakati za Iran kumpigania "Mungu"

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali ya Iran inaendelea kunyonga watu mbali mbali ambao wanahusika kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za dini ya kiislamu, mmojawapo wa walio kwenye hatari ya kunyongwa ni mwanasoka hodari, yote hii ni harakati za kuendelea kumpigania "mungu" wa waislamu.
Hata hivyo maandamano yapo pale pale...

The Islamic Republic of Iran is reported to be planning to execute professional footballer Amir Nasr-Azadani. Former Wolfsburg and Hertha Berlin player Ashkan Dejagah has been barred from leaving the country.
As protests against Iranian authorities continue, the regime is still carrying out acts of repression against its own citizens. Among the estimated 20,000 prisoners arrested for participating in demonstrations against the government of the Islamic Republic over the past three months are several well-known athletes.

After the public execution of 23-year-old wrestler Madzhidreza Rahnavard [by hanging from a construction crane in the city of Mashhad on December 12], professional football player Amir Nasr-Azadani, 26, is reported to be under threat of the same fate.

The former Iran under-21 international, who was most recently under contract with Iranian second-division club Iranjavan FC, stands accused of "sedition against the authorities" and "war against God" among other charges. Under the Islamic Republic's penal code, the death penalty is the maximum sentence.

The verdict was handed down only a few days after the footballer's arrest on November 18 and was not in keeping with the principle of the rule of law. Moreover, the player was not provided with legal counsel. According to human rights activists, the judiciary used torture to obtain forced confessions from Nasr-Azadani.
 
Kwa njia hii uislamu ilikuwa ni dini iliyofaa kwenye karne ya saba huko lakini sio ktk dunia ya sasa na kwa njia hii sioni uislamu ikiwa na mustakabali wowote na kama itamudu kuwepo basi lazima waumini wake wawe less radical.
 
Ni lini hiyo dini iliwahi kufaa hata hizo karne za kitambo, angalia maagizo ya kwenye vitabu vyao, ni mauaji na kuuana kwa kwenda mbele, wameagizwa kuwinda wasio waislamu na kuwachinja popote, kwa hivyo hawa wa leo tunaoishi nao mitaani ni ile wamekiuka maagizo yao...

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Kwa njia hii uislamu ilikuwa ni dini iliyofaa kwenye karne ya saba huko lakini sio ktk dunia ya sasa na kwa njia hii sioni uislamu ikiwa na mustakabali wowote na kama itamudu kuwepo basi lazima waumini wake wawe less radical.
Acha chuki

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Acha wanyongane mpaka waishe. Ndiyo watajua kuwa kuna imani za kijinga na za kipumbavu sana hapa duniani. Acha wamsaidie kutoa hukumu mungu wao
 
Serikali ya Iran inaendelea kunyonga watu mbali mbali ambao wanahusika kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za dini ya kiislamu, mmojawapo wa walio kwenye hatari ya kunyongwa ni mwanasoka hodari, yote hii ni harakati za kuendelea kumpigania "mungu" wa waislamu.
Hata hivyo maandamano yapo pale pale...

The Islamic Republic of Iran is reported to be planning to execute professional footballer Amir Nasr-Azadani. Former Wolfsburg and Hertha Berlin player Ashkan Dejagah has been barred from leaving the country.
As protests against Iranian authorities continue, the regime is still carrying out acts of repression against its own citizens. Among the estimated 20,000 prisoners arrested for participating in demonstrations against the government of the Islamic Republic over the past three months are several well-known athletes.

After the public execution of 23-year-old wrestler Madzhidreza Rahnavard [by hanging from a construction crane in the city of Mashhad on December 12], professional football player Amir Nasr-Azadani, 26, is reported to be under threat of the same fate.

The former Iran under-21 international, who was most recently under contract with Iranian second-division club Iranjavan FC, stands accused of "sedition against the authorities" and "war against God" among other charges. Under the Islamic Republic's penal code, the death penalty is the maximum sentence.

The verdict was handed down only a few days after the footballer's arrest on November 18 and was not in keeping with the principle of the rule of law. Moreover, the player was not provided with legal counsel. According to human rights activists, the judiciary used torture to obtain forced confessions from Nasr-Azadani.
Hawa kobazi akili zao wanazijua wenyewe..
 
Serikali ya Iran ina uchungu na people kuliko hata Raia wake hicho ni kituko waajemi hapo wamezingua sana...wamedharirisha hata Dini yenyewe..
 
Back
Top Bottom