3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
acha kujitoa ufaham.Ezekiel kamwaga atatoa habari za timu ipo rabat,halaf yeye yupo dar?Au yeye ni mganga wa kienyej anaotea?
Baba watu wanaenda na teknolojia kuna rabi hume anatoa updates za timu insta/facebook/Twitter