King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Utopolo bhana! Yani wanataka Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano aende Morocco na Kamera kupiga picha wakati kuna Timu ya waliochiniyake kina Rabihume wanaoshika Kamera kupiga picha.
Haki ya matangazo ya Simba inamilikiwa na Simba mwenyewe haijauzwa kama ilivyouzwa ya Utopolo! Hivyo anayetaka habari za Simba lazima atembelee kwenye Kurasa za Simba ndiyo atazipata, hawezi hivyo basi asubiri udaku wa Kitenge na Shaffih Dauda.
Hongereni Simba kwa kudhibiti habari za Simba zisivuje kwa hawa Wachambuzi takataka.
Manara alitukosea sana kwenye kitengo cha habari.