MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

Mwanaspoti ni Sawa na Gazeti la Utopolo ' YANGA IMARA ' ....Siku ingine hao Waandishi wakijipendekeza Kambini MUWAZABE MAKOFI TU..! Wahedi kabisa
 
Mzee umepaniki!! [emoji16][emoji16][emoji16] Kunywa maji mengi hasira zishuke kidogo! Haya maneno ni ya Mwenyekiti wako mstaafu! Siyo mimi na timu yangu ya wananchi!!
Na hizi sifa za uchoko ni kwa mujibu wa Mzee Mpili
 
Mzee umepaniki!! [emoji16][emoji16][emoji16] Kunywa maji mengi hasira zishuke kidogo! Haya maneno ni ya Mwenyekiti wako mstaafu! Siyo mimi na timu yangu ya wananchi!!

Mashabiki wa Utopolo wote ni majibwa na manyani,yanabweka bweka ovyo ovyo tu kwa mujibu wa aliyekuwa kocha wa Utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…