King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Vipi Bumbuli yupo Morroco?Huyo Ezekiel anatolea wapi hizo taarifa na yupo anapuyanga Dar timu ipo Morocco?
Yani kweli Afisa Habari wa timu anashindwa kukatiwa ticket? Kwamba hana umuhimu ama? Na yeye anakaa Dar kungoja apewe taarifa kama mashabiki ...
Aisee.
Ubaya yule kulala koridoni hawezi kama mwenzake aliyepita.
Hivi ni kitu gani kinafanya tuamini Simba inachukiwa au kutaka kuundiwa zengwe na kila mtu kwa sasa?
Huu utoto tunatoa wapi, katika dunia hii ya utandawazi Usajili haujawahi kua siri, Simba tunaficha nini
Tumeingia robo mala mbili viongozi wamekua hivi!
Siku tukichukua klabu bingwa Africa, kuna watu wataenda kunya ofisi za Tff na Ikulu!
Hii Simba imejaa utoto hadi inaboa!
Kila mtu anatuchukia! for what?
Unaweza kunitajia tΓ©am moja yenye mafanikio inayofanya hiki kinachofanywa na Simba?Acha kupaniki usilazimishe unayoyataka wewe,kama wamefika tu robo umeumia kiasi hicho wakibeba kikombe sijui itakuwaje mkuu wangu.
Simba ya MO na Babra imejaa utoto tu, eti kila mtu wanahisi anawaundia zengweKuna wakati ifike washabiki muwe mnajiongeza, mbona MCL wametoa ufafanuzi ambao unaeleweka kabisa, sasa huo uchawa umetoka wapi?
Simba ya MO na Babra imejaa utoto tu, eti kila mtu wanahisi anawaundia zengwe
NB: halafu em tujiulize hivi huko kambini hata afisa habari wa team haruhusiwi kuingia! maana analanda landa tu Dar es salaam.
Unaweza kunitajia tΓ©am moja yenye mafanikio inayofanya hiki kinachofanywa na Simba?
NB: mimi ni Simba ila kuna utoto sikubaliani nao.
chawa la gsm wakwepa kodi maarfu toka enzi za home shopping senta,aibu sana kulipa machawa mtandaoni kutetea majinga kabisaMbu3 fc mudy anaona aibu kambi aliyoweka kule moroco ni aibu,na uwa apendi ushindani na GSM kishamkamata idara zote,mbu3 imagine kama ingekua ndio ile Yanga ya kutembeza bakuli then mikia iweke kambi moroco Yanga iweke morogoro,mnavyodhani kuna mwandishi angekatazwa kambi ya mikia ya kule mbwinde morocco π,kule morocco Yanga iko kwenye hotel ya 5 stars ndani ya jiji linaloongoza kwa utalii africa jiji la marakech,mikia kambi yao ipo vijijini huko kama kigoma ndani ndani karibu na burundi na inaishi kwenye hostel kama za wakimbizi π
chawa la gsm wakwepa kodi maarfu toka enzi za home shopping senta,aibu sana kulipa machawa mtandaoni kutetea majinga kabisa
Mpira ni mchezo wa wazi, ngoja nisubiri kinachofichwa.Simba inaendesha mambo yake inavyoona ina faa, haiendeshwi unavyotaka wewe au hao wanao lia lia
Mpira ni mchezo wa wazi, ngoja nisubiri kinachofichwa.
Duh!Usichanganye mambo ya uwanjani na mgt style
Andika yote ila msisahau kujiandaa dhidi ya river unitedMbu3 fc mudy anaona aibu kambi aliyoweka kule moroco ni aibu,na uwa apendi ushindani na GSM kishamkamata idara zote,mbu3 imagine kama ingekua ndio ile Yanga ya kutembeza bakuli then mikia iweke kambi moroco Yanga iweke morogoro,mnavyodhani kuna mwandishi angekatazwa kambi ya mikia ya kule mbwinde morocco π,kule morocco Yanga iko kwenye hotel ya 5 stars ndani ya jiji linaloongoza kwa utalii africa jiji la marakech,mikia kambi yao ipo vijijini huko kama kigoma ndani ndani karibu na burundi na inaishi kwenye hostel kama za wakimbizi π
Kuna wakati ifike washabiki muwe mnajiongeza, mbona MCL wametoa ufafanuzi ambao unaeleweka kabisa, sasa huo uchawa umetoka wapi?
Wamedanganya umma kua sisi mashabiki tunalalamika kwao kwamba kwa nini hatujaenda kwenye kambi ya simba. Huu ni uongo wa kupikwa. Sisi taarifa tunazipata kwa wakati kulingana na klabu yetu inavyozitoa. Waache kudanganya ummaKuna wakati ifike washabiki muwe mnajiongeza, mbona MCL wametoa ufafanuzi ambao unaeleweka kabisa, sasa huo uchawa umetoka wapi?