Pierreeppah
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 1,563
- 1,982
45+ tayari ni waume za watu, na huwa wanapenda mahusiano ya kisiri siri na kwa vyovyote atakuwa mwaminifu tu kwa mchepuko wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina 47 years karibuMwanaume wa 45+ yupo kweli?
Ukweli upo hiviiiii!!
* Below 45 don't bother yourself ku pm please!
* Mkristo
* Mpole
* Relocate🙁! Yawezekana?
* Waume za watu don't bother ku pm please!
****Kuna watu under 30 yrs mnasumbua sana na pm zenu zinakera***
Acha nifanye research yangu nijifunze kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 45/2
Haya.Bibie unastahili fimbo
Safi sana.Kweli kabisa!!! Mimi nataka mwanaume anipite kuanzia miaka mitano kwenda juu!!! Ata ikiwa gepu la miaka 30 sawa tu!!!
ah wap tena vitoto vinakuwa vigenius balaa! mdogo wangu amezaliwa na mzaz wa miaka kama ya 49-50 ana akili shetani hapendi!
Ha ha ha nadhani yupo kwenye utafitikuna risk kubwa, hlf kwa nn 45 plus maana kwa nchi daraja la tatu life expectancy ni ndogo mno inawezekana una motive zingine au ww mmachame au unataka kuwa mjane mapema au tayari mjane unataka kuwa mjane square.
still naona hauko serious.
Sijaongelea werevu, kuna tofauti kati ya congenital anomaly na mental retardation..BBC wametangaza utafiti, watoto waliozaliwa na baba wa umri mkubwa ni werevu zaidi ya wenye baba vijana... habari ya mjini wazee [emoji445][emoji444] "vibabu wako juu, backed up by a valid research
Usibishe risk zipo kwa aged woman kuzaa mtoto
Mumpende from a distance sio kutarajia akuuguze kisa tu anahitaji mume... magonjwa na stress upatie kwingine yeye aje akuuguze presha yako na hajasema anataka mume wa kumuuguza ( pre existing condition)inamaana Wagonjwa hatuna haki ya kupenda ?
mie naongelea upande wa baba na sio mama!
Acha wivu na vibabu, hizo disorder probability of occurance ni ngapi ukute ni 1/1000Sijaongelea werevu, kuna tofauti kati ya congenital anomaly na mental retardation..
watoto wenye SMA huwa brighter kuliko kawaida, SPINAL MUSCULAR ATROPHY NI CONGENITAL
Mmmh aiseeee ni uvumilivu tuUpo sahihi! Katika research hii anaweza akapatikana au asipatikane ninayemuhitaji. So far watu wengi walio pm matani mizaha matusi ni wengi zaidi sijui kwa nini lakini.?!
exactly kunakitu ana demand c bure...Uko strategic sana
kwa age iyo uwezi kuta mwanaume ambaye yuko single utajidanyanya tuu wengi ni hit and run atakudanganya tuu zen asepe wanaume cc ni wajanja sana kuwa makini uyo wa 45+ czani kama utampata..Hahahahhhh hapana Mkuu ndio maana nimesema mume wa mtu big 'No!
Atapatikana naamini hivyo. Si kweli wanaume wote mpo sawa. Unataka kuniambia wanaume wooooote waongo? Umri si kigezo wapo wagane waliochwa walioacha hata ambao hawakuwahi kuwa na ndoa.kwa age iyo uwezi kuta mwanaume ambaye yuko single utajidanyanya tuu wengi ni hit and run atakudanganya tuu zen asepe wanaume cc ni wajanja sana kuwa makini uyo wa 45+ czani kama utampata..
NB:Kila la kheri...
Mkuu nashukuru kwa mchango wako. Sitegemei mwanaume nipo na maisha yangu na ni mtu mzima sio msichana kwa hivi natambua nini natafuta sitafuti mtu wa kunijengea maisha nahitaji mtu awe rafiki yangu mpenzi wangu na zaidi mshirika wangu.ila yote kwa yote wanawake muwege wakweli tuu msiseme ati nataka mwanamme mkubwa eti kisa ndo wazuri wametulia c kweli,ukweli ni kwamba mnataka wanaume wakubwa sababu washafanikiwa tayari kwaiyo anauwezo wa kukizi mahitaji yako na c vinginevyo mnataka wanaume wa age kubwa kuanzia 45+sababu wamefanikiwa tayari fullu stop...