Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

Ndondombi Mulin

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Posts
413
Reaction score
1,868
Wanaume,

Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone.

Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae.

Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na Attention.

Huko unakoenda UTAULIWA, UTALIWA, UTAPEWA KILEMA CHA MAISHA, UTAFUNGWA, UTAFILISIKA nk.

Respect yourself.
 
Nini kimekupata? Watu wameshakupiga tukio nini?
 
Ila ukumbuke tu kuwa technically hakuna mwanamke yupo single, yaani pamoja na idadi yao kuwa kubwa ila technically hakuna aliyepo single.

Naungana na wewe, wanaume wanajua kulipa kisasi, tena vibaya mno, achaneni na waliiolewa, japo kupata aliyeko single hilo sahau.
 
Shida wengine huwa wanatutaka wao wenyewe
Hili limenitokea wiki iliyopita, mke watu ambaye aliwahi kuwa mfanyakazi mwenzangu kaanza kunitumia meseji za salamu

Mimi nikamtania naogopa wewe ni mke wa mtu alichonijibu "si vibaya wala" tukaendelea hivyohivyo kilichotokea juzi tumefanya naye matusi
 
Umefanya nae matusi....kauli imenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom