Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
Nini kimekupata? Watu wameshakupiga tukio nini?Wanaume,
Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone.
Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae.
Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na Attention.
Huko unakoenda UTAULIWA, UTALIWA, UTAPEWA KILEMA CHA MAISHA, UTAFUNGWA, UTAFILISIKA nk.
Respect yourself.
Hili limenitokea wiki iliyopita, mke watu ambaye aliwahi kuwa mfanyakazi mwenzangu kaanza kunitumia meseji za salamuShida wengine huwa wanatutaka wao wenyewe
Umefanya nae matusi....kauli imenikumbusha mbali sanaHili limenitokea wiki iliyopita, mke watu ambaye aliwahi kuwa mfanyakazi mwenzangu kaanza kunitumia meseji za salamu
Mimi nikamtania naogopa wewe ni mke wa mtu alichonijibu "si vibaya wala" tukaendelea hivyohivyo kilichotokea juzi tumefanya naye matusi
Imekukumbusha nini mkuu?Umefanya nae matusi....kauli imenikumbusha mbali sana
Umepiga chin??Hili limenitokea wiki iliyopita, mke watu ambaye aliwahi kuwa mfanyakazi mwenzangu kaanza kunitumia meseji za salamu
Mimi nikamtania naogopa wewe ni mke wa mtu alichonijibu "si vibaya wala" tukaendelea hivyohivyo kilichotokea juzi tumefanya naye matusi
Ikumbukwe wanawake ni wengi kuliko mwanaume lakini.[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
Bado nataka niendelee kidogo mume wake wa kusafiriUmepiga chin??
Apo epuka vi sms.Bado nataka niendelee kidogo mume wake wa kusafiri