Mwanaume acha uoga wa maisha

Mwanaume acha uoga wa maisha

Wee mwamba malinda huna unauliza petrol inakazi gan kwenye moto kweli wew sio riziki fala wew
Hajielewi huyo yaani mwanaume ni bora uwe na hela ya kawaida ila sio ukose nguvu za kiume looooooh ni aibu sana ata mwili wako utakukataaa mzee
Hilo pimbi sijui liliwaza nn

Nguvu za kiume ni lulu kubwa sana kwa mwanaume yeyote duniani 🤾🤾
 
Watu kama hao ni wangapi wanaweza ishi hivyo ndo swali la kijiuliza, mwanaume mwenye nguvu za kiume 100 💯 hawez ishi kipindi kirefu hivyo
Unaongea mavi yaliyochanganywa na matapishi paa ata mimi na udogo wangu nimekuzidi akili asee eti mwanaume mwenye nguvu za kiume hawezi ishi maisha marefu 🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮
 
Pesa ndiyo kila kitu siyo ndoa, ndiyo maana CR7 hajaoa, anaishi na hawara
narudia tena hajaoa
ME anayejielewa HAOI
Daah aisee hao wazungu hawafungi ndoa ila wanaishi na Wanawake na kuzaa nao watoto huku wakiwapa haki zote CR 7 huyu kila kukicha anaruka nyoka na familia yake na upendo juu pamoja na Messi ndio unawatolea mifano hapa ndg yangu Drake umepotea umeshika kete mbovu...
Wenzetu hao vitu vingi wanafanya kwa ajili ya familia na pana muda mwingine anatoa maamuzi achezee Timu gani kwa sababu watoto na hawala wake wamechagua watu wanaofurahia maisha usiwaweke kwenye hiyo mifano yako...
 
Unaongea mavi yaliyochanganywa na matapishi paa ata mimi na udogo wangu nimekuzidi akili asee eti mwanaume mwenye nguvu za kiume hawezi ishi maisha marefu 🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮
Kwa hiyo umecomment kwenye mavi na matapishi hujuin kama wewe ni mjinga pro max, mwerevu huwaga hacomment kwenye mavi na matapishi
 
Naendelea kushangaa kwa nini tulazimishane ndoa ikiwa ni kitu bora
...kitu bora hakilazimishwi.
Kuna mtu amekushikia fimbo uoe mpaka unasema unalazimishwa
Unajua maana ya kulazimishwa,
Mfano mim hata sikujui nakulazimishaje kwa mfano
 
Back
Top Bottom