Mwanaume acha uoga wa maisha

Mwanaume acha uoga wa maisha

Mtoa Mada ni mjinga Sana Mimi baba yangu yupo , na miaka 70 hajaoa na ameishi Maisha yake yote sijawai kumuona na Mwanamke zaidi ya miaka 50 na Hana stress katusomesha na kajenga nyumba kazaa na Hadi Muda huu nakaa naye Mimi nafata nyayo zake
in short ni muhuni na Malaya, ni hatari sana Malaya na wahuni kuwa ndo mifano ya kuiga kwa watoto wetu
 
Mbona Mimi mzee wangu ana miaka 70 na Hana mke zaidi ya miaka 50 iliyopita Anaishi mwenyewe yupo fit anakimbia Kama mbape
Wewe nioneshe mzee mwenye mke wa miaka 70 anayweza kukimbia Kama mbape
Hivi akiugua ugonjwa wa kutakiwa kuogeshwa utamuogesha wewe.
Kuna ndugu yangu mama yake lenzi ya jicho imebinuka na kwenA hospital wakamuambia asubiri kama wiki 2 hivi.kuoga mwenyewe hawezi anaona kila kitu juu chini.kama ndio uko nae hivyo unafanyeje
 
Mbona mwaka juzi kapata Ajari alikaa mwezi mzima anaogeshwa kila kitu , sisi tunaishi Kama wapemba tunakaa na mzee wetu na nilimuuguza Mimi mwenyewe akapona na sahiv yupo fit 100% anakimbia Kama mbape
 
Sio kila mtu anaishi kama wapemba
 
Mtoa Mada ni mjinga Sana Mimi baba yangu yupo , na miaka 70 hajaoa na ameishi Maisha yake yote sijawai kumuona na Mwanamke zaidi ya miaka 50 na Hana stress katusomesha na kajenga nyumba kazaa na Hadi Muda huu nakaa naye Mimi nafata nyayo zake
kwa sisi wakristo ndoa ni sakrament ni lazima siku ya mwisho mzee wako ana mashtaka ya kujibu sio jambo la kujivunia
 
Kwa kweli uamuzi wa kuoa kwa nyakati hizi unaweza kuleta majuto na vilio maishani mwako kuliko amani ya moyo.,......

VIjana mnapofikiria kuoa kuweni makini sana zama na nyakati zimebadilika.....usifanye maamuzi ya kuoa kwa msukumo wa watu au mitandao ya kijamii....utakuja kulia na kusaga meno.....

Uanamume ni kutafuta pesa na kujikuza kiuchumi na kuwahudumia walio watiifu na wenye heshima kwake na kumvumilia mtu aliye amua kumdharau na kumletea stress maishani mwake katika mlango wa ndoa ili uonekane upo kwenye ndoa.........

Nasisitiza tena maamuzi yako ya kuoa yasitokane msukumo wa mtu yoyote bali utashi wako pekee....

Word is enough for the wise....
 
kwa sisi wakristo ndoa ni sakrament ni lazima siku ya mwisho mzee wako ana mashtaka ya kujibu sio jambo la kujivunia
Wana kesi za kujibu kwa nani ?, Una ufahamu wowote kuhusu swala la useja lililo zungumziwa na Paulo ?, Una ufahamu wowote kuhusu uwepo wa maseja[ Mapadre & watawa wa kike ] katika ukristo ? Toka lini ukristo ume agiza kuwa ndoa ni takwa la lazima kwa waamini wake ?
 
Mtoa posti hujielewi na inawezekana Kama umeoa hujakutana na changamoto za ndoa mtu anapoponda swala la ndoa anajua anachozungumzia na mwombe Sana mungu Kama uko kwenye ndoa na umetulia na familia yako mwombe Sana mungu muendelee ivyo tumeshakutana na changamoto Sana kwa hayo mambo na mifano ipo tunaona kila kukicha mtu kufikia kumuua mke au kumuona mtoto sio Jambo dogo na kizazi Cha vijana wa Sasa nina wasiwasi Sana Kama watakuja kuoa kutokana na changamoto za maisha na utandawazi Dada zetu wamekuwa na tamaa na maisha ya anasa na unakuta Dada anataka kuishi tofauti na kipato Cha mume wake au ex wake unategemea Nini kinachofata hapo mtu anapoponda haya maswala ameshakutana nayo na anajua
 
Back
Top Bottom