Mwanaume acha uoga wa maisha

Mwanaume acha uoga wa maisha

Maelezo yote hayo nikajua utaongelea wale waoga wa kupambana kutafuta pesa, kumbe unawaponda wanaogoma kuoa? Mtego huo tumeushitukia[emoji16][emoji23].

Hakuna mtu hapendi kuoa, ila ushenzi, uhuni, ujambazi na usariti wa wanawake ndio unaofanya vijana wakatae ndoa, hizo ndoa zimekua jambo rahisi sana kwa wanawake ndiomaana hawaziheshimu, sasa wanaume waliobahatika kufunguka akili wakaona kulko kujiingiza mitegoni mwa ndoa ni bora wafanye mambo mengine, na sio uoga kama mnavyosema ninyi.

Ushauri[emoji117]..Kijana kataa ndoa za mchongo kwa nguvu zako zote na akili zako zote, na hayo mengine yoote utazidishiwa, ikiwepo, pesa, afya ya akili na mwili, uhai na maisha marefu, baraka nyingi.

Ndoa si kwa kila mtu, hata hivyo hakuna ulazima wa kuoa, hayo mawazo sijui mnayapata wapi kuwa lazma kila mtu aoe ama kuolewa.

Wanaokataa ndoa wako timamu msiwakosoe bali wahojini mujue sababu zao.

Ndoa ni taasisi inayokwenda kujifia kifo cha mende kama wafuasi wa hizo ndoa hawatobadiri mindset za ukisasa, uzungu na uhuni uhuni wa kipumbavu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hakuna mtu anaitwa'mfuasi wa ndoa' wewe kama ndoa ilikushinda acha kuogopesha watu eti kataa ndoa,kubali kwamba umeshindwa wewe,matukio mawili matatu kwa nchi nzima ndio yaogopeshe watu kuoa,haya tusipooa kizazi kitaendeleaje?
 
Kuoa tunaoa mkuu sisi tunachokataa ni ndoa , ndoa ni utapeli KIJANA KATAA NDOA ishi na mwanamke akizingua piga chini haraka
 
Recently jamiiforum kumekua na mada/uzi za kipumbavu sana, yaani kumekua na mada za mada/Uzi zenye lengo la kuwajaza watu hasa Wanaume uoga najiulizaga hivi tunatengeneza kizazi Cha aina gani

Mfano 1 ndoa na maisha ya mahusiano
Kuna watu ni kutwa kuponda ndoa na maisha ya mahusiano kwa ujumla, hivi kweli mwanaume rijali ni wa kuogopa ndoa au Maisha ya mahusiano seriously, unapinga ndo au Maisha ya mahusiano una embrace usingle alafu uko bize kuhang na fuckbuddy, unapiga punyeto au kununua Malaya huo ni uzwazwa si Bora uwe na mahusiano ambayo ni proper

Ni kweli Kuna watu kwenye historia hawajawahi kuoa na wameifanyia Dunia mfano Nikola Tesla, newton na wengineo, tofauti ya hawa na vijana wa kileo walikua bize kuifanya Dunia a better place walikua bize na mambo yao, Sasa wewe mwenzangu na mim hutaki mahusiano alafu uko bize kununua Malaya, kupiga masturbation, wewe ni failure na ni mwoga wa maisha
Kijana ambaye huogopi maisha tafuta mwanamke oa akizingua kwenye kiwango ambacho hakivumiliki piga chini tafuta mwingine wanawake wameumbiwa Wanaume

Mfano 2 fantasy
Hakuna sehemu Kuna fantasy kama jamiiforum mim Nina account nyingine ya biashara, kwa hiyo nafanyaga biashara na watu wengi wa jamiiforum asikuambie mtu jinsi mtu anavyovimba huku jf ukikutana naye huwez amin unamkuta mtu ana maisha ya kawaida Ila huku jf ukimuona utafikiri ni zimba flani, hili group limechangia kwa kiasi kikubwa kuwafanya watu waogope maisha sababu wao kila kitu Wana ki-exaggerated huku hili Hali wao hawaishi hayo maisha, hii imepelekea watu kuogopa kufanya vitu kwa kufuata comment za huku

Mfano 3 kufail kwenye jambo flani
Kuna watu wamefail kwenye biashara, matokeo yake wamegeuka kuwa ni kero na kikwazo kwa watu wengine ambao wanataka kuingia kwenye hio biashara, wengine ndoa zimewashinda Ila wamegeuka kuwa kikwazo kwa watu wanaotaka kuingia kwenye ndoa, kwenye maisha ukifail wewe kwenye jambo husika haimaanishi kila mtu ata fail, ukifail kwenye jambo husika usiwe ni kikwazo kwa watu wanaotaka kufanya jambo lile like ulilofail kwa kuwajaza hofu

Mfano 3
Una degree unamiaka 35+ still unalipa laki 3 au bado unajitolea alafu unaogopa kuacha hio kazi huo ni uoga wa kiwango Cha juu Cha maisha thamini elimu yako na gharama ulizotumia

Fear of failure and tomorrow imewafanya vijana wengi sana waishi mediocre life

Samahanin uandishi sio mzuri sana
Ume Nena mkuu Ila ukali wa maneno umezidi
 
CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa

wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee

Oya cio poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom