ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Ya hovyo ki vipi ? Unafahamu kuhusu kitu kiitwacho useja ?Hakuna maisha ya hovyo kama ya u-single
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya hovyo ki vipi ? Unafahamu kuhusu kitu kiitwacho useja ?Hakuna maisha ya hovyo kama ya u-single
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Maelezo yote hayo nikajua utaongelea wale waoga wa kupambana kutafuta pesa, kumbe unawaponda wanaogoma kuoa? Mtego huo tumeushitukia[emoji16][emoji23].
Hakuna mtu hapendi kuoa, ila ushenzi, uhuni, ujambazi na usariti wa wanawake ndio unaofanya vijana wakatae ndoa, hizo ndoa zimekua jambo rahisi sana kwa wanawake ndiomaana hawaziheshimu, sasa wanaume waliobahatika kufunguka akili wakaona kulko kujiingiza mitegoni mwa ndoa ni bora wafanye mambo mengine, na sio uoga kama mnavyosema ninyi.
Ushauri[emoji117]..Kijana kataa ndoa za mchongo kwa nguvu zako zote na akili zako zote, na hayo mengine yoote utazidishiwa, ikiwepo, pesa, afya ya akili na mwili, uhai na maisha marefu, baraka nyingi.
Ndoa si kwa kila mtu, hata hivyo hakuna ulazima wa kuoa, hayo mawazo sijui mnayapata wapi kuwa lazma kila mtu aoe ama kuolewa.
Wanaokataa ndoa wako timamu msiwakosoe bali wahojini mujue sababu zao.
Ndoa ni taasisi inayokwenda kujifia kifo cha mende kama wafuasi wa hizo ndoa hawatobadiri mindset za ukisasa, uzungu na uhuni uhuni wa kipumbavu.
Sidhani kama hili ndilo lilipaswa kuwa jawabu la swali nililo kuuliza ?Ukikua utajua we si bado mtoto
HahahaaKutukana watu matusi hivyo ndivyo vitu vya msingi mnavyo jifunza ndani ya ndoa zenu ?
Ningependa kufahamishwa na wewe na ndio maana nimeuliza hilo swali au nime kosea kuuliza kitu nisicho fahamu ?Kama hujui maana ya rijali pole sana
Hakuna mtu anaitwa'mfuasi wa ndoa' wewe kama ndoa ilikushinda acha kuogopesha watu eti kataa ndoa,kubali kwamba umeshindwa wewe,matukio mawili matatu kwa nchi nzima ndio yaogopeshe watu kuoa,haya tusipooa kizazi kitaendeleaje?Maelezo yote hayo nikajua utaongelea wale waoga wa kupambana kutafuta pesa, kumbe unawaponda wanaogoma kuoa? Mtego huo tumeushitukia[emoji16][emoji23].
Hakuna mtu hapendi kuoa, ila ushenzi, uhuni, ujambazi na usariti wa wanawake ndio unaofanya vijana wakatae ndoa, hizo ndoa zimekua jambo rahisi sana kwa wanawake ndiomaana hawaziheshimu, sasa wanaume waliobahatika kufunguka akili wakaona kulko kujiingiza mitegoni mwa ndoa ni bora wafanye mambo mengine, na sio uoga kama mnavyosema ninyi.
Ushauri[emoji117]..Kijana kataa ndoa za mchongo kwa nguvu zako zote na akili zako zote, na hayo mengine yoote utazidishiwa, ikiwepo, pesa, afya ya akili na mwili, uhai na maisha marefu, baraka nyingi.
Ndoa si kwa kila mtu, hata hivyo hakuna ulazima wa kuoa, hayo mawazo sijui mnayapata wapi kuwa lazma kila mtu aoe ama kuolewa.
Wanaokataa ndoa wako timamu msiwakosoe bali wahojini mujue sababu zao.
Ndoa ni taasisi inayokwenda kujifia kifo cha mende kama wafuasi wa hizo ndoa hawatobadiri mindset za ukisasa, uzungu na uhuni uhuni wa kipumbavu.
Na ndio hao wanapiga kelele humu,wameshacopy maneno uchwara kila Uzi wa ndoa wakiuona wanapaste,kumbe wana ajenda zao.Wasipooa wataolewa!
Niko paleee [emoji117][emoji117]
DUNIA HADAA.......
Ndoa ni utapeli haina faida yoyote kwa wanaumeWasipooa wataolewa!
Niko paleee [emoji117][emoji117]
DUNIA HADAA.......
Tofautisha ndoa na kuwa na mwanamkeNdoa na kuwa na familia ni kwa watu majasiri ambao sio waogoa wa maisha, Kuna maana gani ya kutafuta ela alafu huna mke wala familia huo ni uzwazwa
Mkuu ndoa nibutapel tofautisha mahusiano na ndoaMahusiano ni kwa watu wote ambao ni rijali
Ronaldo na mesi hawana ndoa ni mashoga?Kwa hiyo watu wawe mashoga sio kama hussuport mahusiano ya kawaida basi wewe ni shoga
Unakumbatia mzinga wa nyuki usikimbilie tu kwa mods pimbi wewe.Kwa hiyo watu wawe mashoga sio kama hussuport mahusiano ya kawaida basi wewe ni shoga
Ume Nena mkuu Ila ukali wa maneno umezidiRecently jamiiforum kumekua na mada/uzi za kipumbavu sana, yaani kumekua na mada za mada/Uzi zenye lengo la kuwajaza watu hasa Wanaume uoga najiulizaga hivi tunatengeneza kizazi Cha aina gani
Mfano 1 ndoa na maisha ya mahusiano
Kuna watu ni kutwa kuponda ndoa na maisha ya mahusiano kwa ujumla, hivi kweli mwanaume rijali ni wa kuogopa ndoa au Maisha ya mahusiano seriously, unapinga ndo au Maisha ya mahusiano una embrace usingle alafu uko bize kuhang na fuckbuddy, unapiga punyeto au kununua Malaya huo ni uzwazwa si Bora uwe na mahusiano ambayo ni proper
Ni kweli Kuna watu kwenye historia hawajawahi kuoa na wameifanyia Dunia mfano Nikola Tesla, newton na wengineo, tofauti ya hawa na vijana wa kileo walikua bize kuifanya Dunia a better place walikua bize na mambo yao, Sasa wewe mwenzangu na mim hutaki mahusiano alafu uko bize kununua Malaya, kupiga masturbation, wewe ni failure na ni mwoga wa maisha
Kijana ambaye huogopi maisha tafuta mwanamke oa akizingua kwenye kiwango ambacho hakivumiliki piga chini tafuta mwingine wanawake wameumbiwa Wanaume
Mfano 2 fantasy
Hakuna sehemu Kuna fantasy kama jamiiforum mim Nina account nyingine ya biashara, kwa hiyo nafanyaga biashara na watu wengi wa jamiiforum asikuambie mtu jinsi mtu anavyovimba huku jf ukikutana naye huwez amin unamkuta mtu ana maisha ya kawaida Ila huku jf ukimuona utafikiri ni zimba flani, hili group limechangia kwa kiasi kikubwa kuwafanya watu waogope maisha sababu wao kila kitu Wana ki-exaggerated huku hili Hali wao hawaishi hayo maisha, hii imepelekea watu kuogopa kufanya vitu kwa kufuata comment za huku
Mfano 3 kufail kwenye jambo flani
Kuna watu wamefail kwenye biashara, matokeo yake wamegeuka kuwa ni kero na kikwazo kwa watu wengine ambao wanataka kuingia kwenye hio biashara, wengine ndoa zimewashinda Ila wamegeuka kuwa kikwazo kwa watu wanaotaka kuingia kwenye ndoa, kwenye maisha ukifail wewe kwenye jambo husika haimaanishi kila mtu ata fail, ukifail kwenye jambo husika usiwe ni kikwazo kwa watu wanaotaka kufanya jambo lile like ulilofail kwa kuwajaza hofu
Mfano 3
Una degree unamiaka 35+ still unalipa laki 3 au bado unajitolea alafu unaogopa kuacha hio kazi huo ni uoga wa kiwango Cha juu Cha maisha thamini elimu yako na gharama ulizotumia
Fear of failure and tomorrow imewafanya vijana wengi sana waishi mediocre life
Samahanin uandishi sio mzuri sana
Wana mahusiano yanayoeleweka kwani wako singleRonaldo na mesi hawana ndoa ni mashoga?
Kama unaishi na mwanamke na aliye oa ajabu ni ninMkuu ndoa nibutapel tofautisha mahusiano na ndoa
Shoga sio tusi ni watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia mojaKutukana watu matusi hivyo ndivyo vitu vya msingi mnavyo jifunza ndani ya ndoa zenu ?
💯🤝CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa
wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoa
wewe mchimba chumvi wa Vikindu ndiyo wa kuona umuhimu wa ndoa ?
Kuoa Ni Upumbavu, Tafuta Pesa mzee
[emoji817][emoji1666]
KIJANA KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
AFYA YA AKILI NI BORA KULIKO NDOA